CountrywideDah!! Ni km umenilenga mimi [emoji17]
(…….) siwez kumtaja lkn yeye kagoma kuondoka maishani kwangu na ananifanya nikose amani ya moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CountrywideDah!! Ni km umenilenga mimi [emoji17]
(…….) siwez kumtaja lkn yeye kagoma kuondoka maishani kwangu na ananifanya nikose amani ya moyo
Hupendi amani kabisa shem 🤣🤣🤣
Nimekusaidia kumtag shem kama shem😁Hupendi amani kabisa shem 🤣🤣🤣
Mwanao wa kike umpe jina la huyo mama kwa heshima na kumbukumbu kama kuna ulazimaMwaka 2017 Nilienda kufanya usaili kwenye NGO moja ivi dodoma, kwenye usaili ule majibu mengi ya uzoefu nilidanganya, ila yule mwanamke aliekua ananihoji alinipenda.
Akanisaidia sana kupata ile kazi, na baada ya kuipata akaniambia najua ulikua unadanganya ila nilipenda ulivojiamini.
Tukawa wote kwa mwezi mzima akinifundisha kazi, na baada ya apo alikaa mwezi mmoja akaumwa sana na akafariki.
Ni kama alikua na mda mfupi kwa ajili yangu.
Na kwa kuniamini kwake, kumenipa uzoefu sana kwenye eneo ili.
Mungu amulaze mahali pema.
Nimekusaidia kumtag shem kama shem[emoji16]
duuuh! We jamaa, miezi 5 kwa 26mls, kwanini usingekomaa ata 2yrs? Uh! Labda....Niliacha mkuu.!!. Na sio kaz yangu ya kwamza kuacha.
2014 mwaka mmoja tuu toka nimetoka kumaliza chuo nilipata kaz ya kulipwa $450 by that time ilikua kama 720k hiv... nilifanya kazi miez mi 5 nikaacha kwakua sikua naipenda na sikua na amni nayo nikaenda kufundisha tuition nalipwa shiling elf 15 kwa siku kisha nikaajilowa kwenye kaz niliyosomea na kua nalipwa 250k na nikaona poa tu Wakilimsomitz
Nilikaa miezi 6 sio mi 5. Hiyo 26 ilijumuisha mishahara, posho, perdm nje ya dar pamoja na benefits zangu baada ya kuacha kazi.duuuh! We jamaa, miezi 5 kwa 26mls, kwanini usingekomaa ata 2yrs? Uh! Labda....
Daah nimekuelewa mkuu, lakini naona unafaa kuanzisha uzi wako kwakua naona nyuma yako kuna mengi tutajifunza,hasa kwa wale wanaoamini katika kujiajiri,"TAFADHARI MKUU NAOMBA ULIZINGATIE HILI''Nilikaa miezi 6 sio mi 5. Hiyo 26 ilijumuisha mishahara, posho, perdm nje ya dar pamoja na benefits zangu baada ya kuacha kazi.
The reason sikutaka kungoja zaid nibkwamba wazo langu lilikua limesha ma ture na nisingeweza kusema nisubir zaid kwakua time factor kwa ujariamal niliamua kujiingiza huko muda ni kitu muhim.It was then or never.
Mwisho kabisaa kuacha kazi na msoto wa miezi sita ulishanijengea mentality ya tofaut sana kuhusu kuajiriwa na sikua nayatazama maisha katika mtizamo wa woga kama hapo kwanza ndio maana haikunichukua mufa kufikiri kwamba i had to quit.
Nimekusoma mkuu.NitajitahidDaah nimekuelewa mkuu, lakini naona unafaa kuanzisha uzi wako kwakua naona nyuma yako kuna mengi tutajifunza,hasa kwa wale wanaoamini katika kujiajiri,"TAFADHARI MKUU NAOMBA ULIZINGATIE HILI''
vizuri, mwenye mamlaka ya vyote akujarie wepesi....Nimekusoma mkuu.Nitajitahid