Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

Dah!! Ni km umenilenga mimi [emoji17]

(…….) siwez kumtaja lkn yeye kagoma kuondoka maishani kwangu na ananifanya nikose amani ya moyo
 
Ni mkaka m1 wa kihayaa, ishi sanaa Michael,
Popote ulipo, kila upangalo ufanikiwe, na uzidi kubarikiwa mnoo.
[emoji120][emoji120]
 
Mmhh mkuu sipangigwiiii kiivyoo...weee
 
Mmmh
 
Mmhh mkuu sipangigwiiii kiivyoo...weee
Sure am telling...sijui nikuaminisheje lakin ndio ukweli.😂
Ujue mimi nimegombana sana na wazee kuna kipindi wakahisi mimi nina mapepo ya umasikini situlii kazin
 
Uz mzuri
Kuna wakat Mungu huwaleta watu kukusaidia
 
Ni kweli mkuu alikuepo kwa wakati husika kwajili yako. Moments kama hizo zinamjenga mtu na kumpa ujasiri
 
Rafiki yangu Yesu tangu aondoke miaka 2023 hadi leo hajarudi tena, licha ya kuniahidi atarudi mapema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…