Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

Mwanao wa kike umpe jina la huyo mama kwa heshima na kumbukumbu kama kuna ulazima
 
duuuh! We jamaa, miezi 5 kwa 26mls, kwanini usingekomaa ata 2yrs? Uh! Labda....
 
duuuh! We jamaa, miezi 5 kwa 26mls, kwanini usingekomaa ata 2yrs? Uh! Labda....
Nilikaa miezi 6 sio mi 5. Hiyo 26 ilijumuisha mishahara, posho, perdm nje ya dar pamoja na benefits zangu baada ya kuacha kazi.

The reason sikutaka kungoja zaid nibkwamba wazo langu lilikua limesha ma ture na nisingeweza kusema nisubir zaid kwakua time factor kwa ujariamal niliamua kujiingiza huko muda ni kitu muhim.It was then or never.

Mwisho kabisaa kuacha kazi na msoto wa miezi sita ulishanijengea mentality ya tofaut sana kuhusu kuajiriwa na sikua nayatazama maisha katika mtizamo wa woga kama hapo kwanza ndio maana haikunichukua mufa kufikiri kwamba i had to quit.
 
Kuna kaka nikiwq chuo IFM tulikua tunamwita Nick name Engineer (waliomaliza BBF banking 2016 watakua wanamjua), alinisaidia mno. Hesabu zilinishinda na nilitaka kiacha chuo, test one nililamba 5%. Mlokole yule alinifundisha Hadi nikaanza kupata A. Tulikorofishana na akaniacha pale nilipo taka kumzawadia zawadi ya papuchi.... Akakasirika na kunitenga. Mungu ambariki huko alipo
 
Daah nimekuelewa mkuu, lakini naona unafaa kuanzisha uzi wako kwakua naona nyuma yako kuna mengi tutajifunza,hasa kwa wale wanaoamini katika kujiajiri,"TAFADHARI MKUU NAOMBA ULIZINGATIE HILI''
 
Daah nimekuelewa mkuu, lakini naona unafaa kuanzisha uzi wako kwakua naona nyuma yako kuna mengi tutajifunza,hasa kwa wale wanaoamini katika kujiajiri,"TAFADHARI MKUU NAOMBA ULIZINGATIE HILI''
Nimekusoma mkuu.Nitajitahid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…