Chawa wa CCM hua nahisi huyu jamaa ni MwijakuππCdm Ina vijana wa hovyo sana.....,. Lucas Mwashambwa amekukosea nini! Au kusifia mazuri ya serikali?
Sina wabaya ila nina machizi ambao wanatembelea upepo wangu bila kunitaja siku yao haiendi vizuri.!!Kuna wale unaanzisha ka Uzi Kako wanakuja na maneno ya shombo. Lamomy mtag mbaya wako hapa
Lazima 100 others ahusikeπππSina wabaya ila nina machizi ambao wanatembelea upepo wangu bila kunitaja siku yao haiendi vizuri.!!
Halafu mimi huwa siwatajagi machawa wangu, wao ndio wananitaja.!!
Mbona unataka kunishushia cheo πππ
Hizi genye zako zitafutie mlaji ukikosa jiwekee miti
Umelala huoooo
ModeratorHizi genye zako zitafutie mlaji ukikosa jiwekee miti
Kabisa yan π€£Mpaka mwenyewe hujikubaliπππ
Dah ππ nimekuvulia boxaMimi Bado nipo haiππ sikufa..shauri yako
I love you Post
tatzo huu uzi sio wa kupendana ni wa kuchukiana bwan πI love you comment
Embu tuone ππDah ππ nimekuvulia boxa
Ukiona uzi wa kupendana niitetatzo huu uzi sio wa kupendana ni wa kuchukiana bwan π