Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

Naona kuna ka mtindo kanavuma ka kugawa vocha
 
unatoa wapi nguvu ya kumchukia mtu hapa jf huenda hujawahi hata kumuona..... afya ya akili za watu humu ni dhoofu sana
 
Ni ajabu sana kuona mtu usiyemfahamu unakuwa na chuki nae kabisa, ila ndio uhalisia..hata mimi kuna characters wala hazinibariki..
 
They all do not poses the requisite wattage to tickle my fancy.
 
Unawezaje kumchukia mtu hujawahi kumuona,Kuna watu humu wao ni kuzingua na masikhara mengi ili kuchangamsha jukwaa lakini nje ya hapo wapo smart sana
Sio chuki as such nadhani, ila kuna watu unaweza ku~interact nao na wengine hawana umuhimu sana kwako. Japo hatujuani, ila kuna watu upo nao karibu kusocialize kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom