Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

Unawezaje kumchukia mtu hujawahi kumuona,Kuna watu humu wao ni kuzingua na masikhara mengi ili kuchangamsha jukwaa lakini nje ya hapo wapo smart sana
 
Mkubwa unaendeleje, hamu ya pombe ishaisha kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…