Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

Mengi+klynn = salma k + nguza= credo mwaipopo+ jide= Ruge +Tayana= diamond + vanesa mdee= lulu+ ray
 
John Mnyika...mtu makini,ana vision na taifa letu na anajua kutafsiri kauli zake kuwa matendo......

Hakika leo umeacha mautumbo yako pembeni_hili umefikiria kwa kina saaaana...kamata my like....Mnyika yuko safi.
 
mkuu vipi tena unanipangia wa kumtaja,,,we uyo bogus si umtaje wewe kama unamuaminia.

Mkuu acha matusi banaa, utamuitaje rais wetu bogus? ila tambua kwamba mtake msitake JAKAYA ndo mpango mzima, huyo dogo bado sana.
 
Kikwete hana maamzi magumu ndio maana inch inakoelekea hatukujui
 

shekh Ponda,,ALLAH AMLINDE NA KUMPA AFYA LUKUKI,,,,,TAQBIIIIR ALLAH AQBAR
anajitahidi kuwa muwazi kusimamia ukweli kwa maslah ya uislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…