Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Wakuu wanajamvi, naomba leo kila mmoja wetu ataje mtu mmoja anayekoga moyo wake kwa kile anachoona anakifanya kwa jamii,hususani kusaidia wasiojiweza au kusaidia elimu au kuburudisha au chochote kizuri na si vibaya ukitaja na sababu kidogo ili kuwahabarisha na wengine.......mwisho wa siku atakayetajwa zaidi kwa wema wake au kwa kuelimisha kwake kupitia chochote anachokifanya mimi kama mtoa mada nitampa zawadi na itamfikia popote alipo tanzania na zawadi ni zawadi ili kumpa chachu ya kuendelea kufanya vizuri,lugha nzuri izingatiwe!
shekh Ponda,,ALLAH AMLINDE NA KUMPA AFYA LUKUKI,,,,,TAQBIIIIR ALLAH AQBAR
anajitahidi kuwa muwazi kusimamia ukweli kwa maslah ya uislam
then KOVA,kila aambiwacho hukifanya hata kama hakina tija