Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

Wakuu wanajamvi, naomba leo kila mmoja wetu ataje mtu mmoja anayekoga moyo wake kwa kile anachoona anakifanya kwa jamii,hususani kusaidia wasiojiweza au kusaidia elimu au kuburudisha au chochote kizuri na si vibaya ukitaja na sababu kidogo ili kuwahabarisha na wengine.......mwisho wa siku atakayetajwa zaidi kwa wema wake au kwa kuelimisha kwake kupitia chochote anachokifanya mimi kama mtoa mada nitampa zawadi na itamfikia popote alipo tanzania na zawadi ni zawadi ili kumpa chachu ya kuendelea kufanya vizuri,lugha nzuri izingatiwe!

shekh Ponda,,ALLAH AMLINDE NA KUMPA AFYA LUKUKI,,,,,TAQBIIIIR ALLAH AQBAR
anajitahidi kuwa muwazi kusimamia ukweli kwa maslah ya uislam
then KOVA,kila aambiwacho hukifanya hata kama hakina tija
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Mwita Maranya[/TD]
[TD] michango yake jf[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ritz [/TD]
[TD]jitihada zake za kukibeba chama
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]chama[/TD]
[TD]mpambe[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


 
Mke wangu coz kila siku nalala naye ananipikia chakula na mambo kibao. Huyu ndo mtu maarufu sana hapa Tanzania
 
Le Mutuz Le Baharia Ze Big Show kwa sababu ya segments zake za kuwachana mburulaz kwenye Le Mutuz Live Hard Straight Talk/ Le Mutuz Hard Live Straight Talk

Ati nini? Are you serious? you must be lemuz mwenyewe. utumbo mtupu
 
Mbavu zangu nusura zichanike,,,,ivi kuna watu kumbe hawawezi kuwa serious na jambo lolote?sasa mtu umeambiwa mtu maarufu unaendaa kutaja wife sijui baba yangu wengine wanalazimisha wengine wawachagulie watu wanaowapenda wao,,,sasa nimewajua wanaochakachua hata kula...unayempenda wewe si lazima wengine tumpende....mi nongezea wangu mwingine mzee sabodo safi sana sijui amepona?mana alikuwa anaumwa.
 
J.K.Nyerere, R.I.P, sababu ni baba wa Taifa, hakugawa wala kuficha keki ya Taifa.
 
Back
Top Bottom