Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

nancy sumari,kwasababu yuko mstari wa mbele kuhahikisha kuwa jamii inapata kile kinachotakiwa hasa misaada kwa wakina mama wajawazto,watoto yatima nk vilevile kuwapa moyo wajasiliamal
Nancy Sumary huyu aliyeko ndani na Kitlya wa TRA?
 
Back
Top Bottom