Mtu gani umepotezana nae na unatamani hata sasa umuone tu hata mara moja?

Mtu gani umepotezana nae na unatamani hata sasa umuone tu hata mara moja?

Mpondoshilla

Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
36
Reaction score
132
Ni mschana fulani hivi nilitokea kumpenda na yeye alitaka nimuoe ila mimi nilikuwa bado sina hata kitanda lakini mwisho wa siku alinipigia simu akiniomba ruhusa nimruhusu aolewe nilimkubalia ila sijajua kama kashaolewa tayari au la ila mimi nimeshaoa tayari
 
Bahati mbaya nishaoa sitaki Tena kuzini Ila km ningekuwa Bado single wafuatao km mpo jf aisee mmeniuma kuwakosaga mpk siku nafukiwa chini

1.rita Livingston
2.maria (nilikutoa bikra ulipokuwa form 2) siku nikasafiri nikaja tukaonana Cha ajabu ukanikataa kisa nimekuwa mvuta bangi na napiga tungi

NB:WOTE NI WACHAGA NA NILITAMANI MMOJA AWE MKE WANGU SEMA SIO KESI HUYU NILIYENAYE SASA KAJA NA NYOTA NASHIKA HELA WASALAAAM MA EX ZANGU
 
Matiam we ticha wa mwanza yaani nilipenda mpaka kufa ingawa ushazalishwa watoto wanne ila Kila nikiona picha nahsi kuzima mtoto wa kitanga
 
Baba mlezi Ali Rashid Mwenge
Mwenyeji wa iringa ni Police.
Kwa anaye mfahamu tafadhali Mana sijui Kama ni mzima ama ........ Miss you Dad.
Ungeenda kumtafuta au ungetaguta ata ndugu zake
 
Back
Top Bottom