Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

Kwa nchi zetu hizi mtu akiyapatia maisha hata kama hana elimu kubwa ,lazima awaponde waliosoma. Siwezi kuwalaumu moja kwa moja ila ni tatizo lililokuwa rooted na siasa na wanasiasa wa hii nchi. Kuna mtu hapo juu kasema google wanaajiri kupitia uwezo binafsi wa mtu na sio elimu kubwa mtu anayo . Kwamba ana elimu ndogo . Amepotoka sana.

Wajinga hawaishi Duniani.

Labda kama anazungumzia kazi za kuuza karanga, kucheza ngumu, mpira n.k.
 
Huyo Mpenzi wako ndiye anatakiwa akuambie ubadilishe mtazamo wako.

Ukiulizwa ujumbe wa hili andiko utaweza kuusema ikiwa hujasoma mpaka mwisho?

Hapo ndio utajua kuwa hata Mpenzi wako amekuzidi Akili lakini Kwa vile wewe ni Akili fupi huwezi kuliona Jambo hilo

Pole sana
Hayo huwezi kuelewa kwa vile una Elimu ya makaratasi.

Kuna madaktari wanaweza kumuona mtu na anajua kabisa huyu anaumwa ujongwa fulani hata kama hajampima. hayo yanawezekana sana.

Elimu inayotumika hapo sio makaratasi but self skills na hii shuleni hupati.

Sasa wewe endelea kukariri makaratasi wakati kuna watu hawajasoma finance au accounting ila wanaweza kumeneji pesa vizuri sana kuliko au wenye makaratasi.

Kwamba ndo umkatae huyo
kisa hana makaratasi?. Sio karne hii.
 
Ni Kwa sababu Akili yako ni ndogo na huyo Mpenzi wako anakustahi pakubwa, ushukuru Mungu.

Ukishasema Madaktari jua ushataja Wasomi walioenda shule kusomea hiyo Fani.
Hakuna Daktari wa kuzaliwa bila ya kusomea. Huyo hayupo.

Ati Elimu inayotumika hapo ni self Skills,😀😀.
Acha kuchekesha Watu, unaongea kama karumekenge.

MTU asome miaka Mitano, alafu a-specialize miaka mingine mizito alafu useme ni self Skills.

Elimu Kwa Dunia ya sasa sio tuu NI muhimu Bali ni lazima Kwa Watu wanaotaka kuishi Maisha ya kiwango cha juu.

Ili ujijue unaujinga kiasi gani unaweza kujiuliza,
Nchi zenye wasomi na nchi zisizo na wasomi zipo zimeendelea na zinamatajiri?
Inaweza kuwa hata hujawahi kusafiri kwenda hata hapo Nairobi. Nitakuwa nakuonea.

Fuatilia mikoa Kwa hapa Tanzania yenye wasomi na Ile ambayo haina wasomi Ipo imeendelea?
Kama hujatembea pia Hii Tanzania.

Unaweza kuangalia katika Ukoo wenu,
Familia zilizosomesha Watoto na zile ambazo hazijasomesha Watoto zipi zimeendelea.

Ukitoka hapo, nenda Kwa Mpenzi wako asafishe Hilo shamba lako la nywele ili angalau usiwe mjinga
 
Ukitoka hapo, nenda Kwa Mpenzi wako asafishe Hilo shamba lako la nywele ili angalau u
 
Ati Elimu inayotumika hapo ni self Skills,[emoji3][emoji3].

Hatuwezi kuelewana. naona huna point.
Naongea hili unabadili.

Mtu unaweza kusoma hata miaka 10 na bado mwajiri akataka uzoefu wako na sio miaka uliotumia shule.

Hoja ya nchi au Mkoa kuwa na wasomi ndo kuwa na Maendeleo nu matumizi mabaya ya akili na kukalili

Elimu pekee si chanzo cha Maendeleo

Kuna Qator, UAE, kuna saud hao wana Elimu gani?.

Mikoa kuna Kagera mkoa wenye wasomi wengi kwani kuna Maendeleao gani?

Au tusema Kampuni kubwa dunia ya Apple, MS waanzilishi wake wana Elimu gani?.

Basi twende kwa watu.

Bill ana Elimu gani?

Kuna Watu ni Phd wamemzidi nini Elon mwenye Degree moja?. ndomana nimekuambia self skills. kukaa Darasani kwa Dunia ya sasa ndo kuwa vizuri hayo yamepitwa na wakati.

Hivi unajua Elon ameajiri wasomi kumzidi ila kila kinachofanya ndani ya kampuni zake ni uwezo wake na waliomzidi Elimu ni kumsaidia tu kufanya kazi zake.
 
Kwema Wakuu!

Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi.

Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani au aliishia kidato cha nne.

Sawa, unamuuliza, unataka kulipwa kiasi gani. Anakuambia angalau laki saba huko au ikipungua kidogo laki tano. Unabaki kusema iiiiiihsh! Unaweza kumzabua.

Kusoma hakutaka, mshahara mdogo hataki, kajiajiri basi pia hataki. Hivi huko ni kulogwa au nI kitu gani! Hutaki Kulipwa Mshahara mdogo na unajijua haujasoma nenda;
  • Kalime vibarua.
  • Kuwa Dalali chapuchapu.
  • Kuwa machinga.
  • Kuwa mpiga debe, Sarange, piga Pesa.
  • Kuwa Mganga WA kienyeji, piga Pesa.
  • Kuwa Aposto uuze maji ya upako upige Pesa.
  • Kuwa Bodaboda, upige Pesa.
  • Kuwa muokota makopo, piga Pesa.
  • Kuwa Mwanamuziki, piga Pesa.
  • Kuwa mwana Tiktok, mwanamtandao, piga Pesa.
  • Kuwa muosha wadadakucha, piga Pesa.
  • Kuwa mpiganaji WA masumbwi, piga Pesa.
  • Kuwa Mama au Baba ntilie, piga Pesa.
  • Kuwa promoter au manager wa wasanii, piga Pesa.
  • Kuwa MC wa sherehe, misiba na matukio Mbalimbali, piga Pesa.
  • Kuwa feminist au mtetezi wa Wanawake, piga Pesa.
  • Kuwa mchora Tattoo, piga Pesa.
  • Kuwa Game Trainer, piga Pesa.
  • Jifunze kuogelea, kuwa muogeleaji kisha kuwa Mwalimu wa kuogelea, Piga Pesa.
  • Jifunze ngumi, Martial arts, kuwa Mwalimu wa Ngumi, piga Pesa.
  • Kuwa Dancers, piga Pesa.
  • Kuwa mchekeshaji na muongea vioja na vituko, piga Pesa.
  • Kuwa Makeup Artist, piga Pesa.
  • Kuwa mpambaji wa sherehe na matukio, piga Pesa.
  • Jifunze ususi, Suka Watu, piga Pesa.
  • Jifunze Ukungwi, piga Pesa.
  • Kuwa mwanamazingaombwe, piga Pesa.
  • Kuwa chawa, mpambe, Mkandikaji Watu, mpaka Watu mafuta
  • Kwa mgongo wa chupa, piga Pesa.
  • Kuwa mshonaji nguo, piga Pesa.
  • Kuwa models, mwanamitindo, piga Pesa.
  • Kuwa Mtunzi wa simulizi, muongoza filamu, mtayarishaji, piga Pesa.
  • Kuwa mpiga picha, jifunze kupiga picha hata Kwa simu yako, piga Pesa.
  • Kuwa Mwalimu wa wanyama kama Mbwa, farasi, Mwewe, Afu piga Pesa.
  • Kuwa kinyozi wa kujitegemea, au nyozi la taifa, piga Pesa.

Hukusoma sawa, hutaki Mshahara mdogo sawasawa, kajiajri basi, hutaki kujiajiri, sio sawa, mpuuzi nini?

Vijana Maisha ni yako. Kazi yoyote Ile halali ukiifanya Kwa kuipenda itakuheshimisha.

Nataka kukuambia, kuna wakulima wanapesa kuliko Madaktari na Wanasheria waliosoma. Kuna Wachekeshaji na ma-dancer wanamaisha mazuri kuliko wasomi.

Kazi ni kazi. Utalipwa Mshahara kulingana na thamani yako. Maisha mazuri yatatokana na vipaombele vyako.

Acha nipumzike sasa
Sabato njema.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Unaweza ukasoma na ukaokota makopo
 
Hao uliowataja wote hakuna mwenye Elimu ya Chini wote wanaelimu za juu.

Ukishakuwa na Degree kuendelea wewe ni Msomi, umesoma.

Huyo Elon musk unayemtaja Elimu yake unaijua?
 
Kwa hiyo Kwa Upeo wako MTU mmoja au Wawili Kati ya Mia moja wanaweza kuathiri majibu ya utafiti

Tatizo una Elimu ya makaratasi.
Maswala ninayokuuliza hujibu basi mimi nitafuata unakotaka.

Twende na jibu lako hapo.
Utafiti wa kutaka kujua Tanzania kuna wagonjwa wa ngapi wa corona.

Na utafitli ulipofanywa ikabainika kwamba Tanzania ina wagonjwa wawili tu wa corona., kwaiyo kwa kauli yako unataka kumaanisha kwamba ripoti itatoka Tanzania hakuna corona kwa vile ni watu wawili tu kati ya M60?

Serious?
 
Kwema Wakuu!

Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi.

Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani au aliishia kidato cha nne.

Sawa, unamuuliza, unataka kulipwa kiasi gani. Anakuambia angalau laki saba huko au ikipungua kidogo laki tano. Unabaki kusema iiiiiihsh! Unaweza kumzabua.

Kusoma hakutaka, mshahara mdogo hataki, kajiajiri basi pia hataki. Hivi huko ni kulogwa au nI kitu gani! Hutaki Kulipwa Mshahara mdogo na unajijua haujasoma nenda;
  • Kalime vibarua.
  • Kuwa Dalali chapuchapu.
  • Kuwa machinga.
  • Kuwa mpiga debe, Sarange, piga Pesa.
  • Kuwa Mganga WA kienyeji, piga Pesa.
  • Kuwa Aposto uuze maji ya upako upige Pesa.
  • Kuwa Bodaboda, upige Pesa.
  • Kuwa muokota makopo, piga Pesa.
  • Kuwa Mwanamuziki, piga Pesa.
  • Kuwa mwana Tiktok, mwanamtandao, piga Pesa.
  • Kuwa muosha wadadakucha, piga Pesa.
  • Kuwa mpiganaji WA masumbwi, piga Pesa.
  • Kuwa Mama au Baba ntilie, piga Pesa.
  • Kuwa promoter au manager wa wasanii, piga Pesa.
  • Kuwa MC wa sherehe, misiba na matukio Mbalimbali, piga Pesa.
  • Kuwa feminist au mtetezi wa Wanawake, piga Pesa.
  • Kuwa mchora Tattoo, piga Pesa.
  • Kuwa Game Trainer, piga Pesa.
  • Jifunze kuogelea, kuwa muogeleaji kisha kuwa Mwalimu wa kuogelea, Piga Pesa.
  • Jifunze ngumi, Martial arts, kuwa Mwalimu wa Ngumi, piga Pesa.
  • Kuwa Dancers, piga Pesa.
  • Kuwa mchekeshaji na muongea vioja na vituko, piga Pesa.
  • Kuwa Makeup Artist, piga Pesa.
  • Kuwa mpambaji wa sherehe na matukio, piga Pesa.
  • Jifunze ususi, Suka Watu, piga Pesa.
  • Jifunze Ukungwi, piga Pesa.
  • Kuwa mwanamazingaombwe, piga Pesa.
  • Kuwa chawa, mpambe, Mkandikaji Watu, mpaka Watu mafuta
  • Kwa mgongo wa chupa, piga Pesa.
  • Kuwa mshonaji nguo, piga Pesa.
  • Kuwa models, mwanamitindo, piga Pesa.
  • Kuwa Mtunzi wa simulizi, muongoza filamu, mtayarishaji, piga Pesa.
  • Kuwa mpiga picha, jifunze kupiga picha hata Kwa simu yako, piga Pesa.
  • Kuwa Mwalimu wa wanyama kama Mbwa, farasi, Mwewe, Afu piga Pesa.
  • Kuwa kinyozi wa kujitegemea, au nyozi la taifa, piga Pesa.

Hukusoma sawa, hutaki Mshahara mdogo sawasawa, kajiajri basi, hutaki kujiajiri, sio sawa, mpuuzi nini?

Vijana Maisha ni yako. Kazi yoyote Ile halali ukiifanya Kwa kuipenda itakuheshimisha.

Nataka kukuambia, kuna wakulima wanapesa kuliko Madaktari na Wanasheria waliosoma. Kuna Wachekeshaji na ma-dancer wanamaisha mazuri kuliko wasomi.

Kazi ni kazi. Utalipwa Mshahara kulingana na thamani yako. Maisha mazuri yatatokana na vipaombele vyako.

Acha nipumzike sasa
Sabato njema.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
H

Mimi nadhani hoja yako haijaeleweka (haijajitosheleza) ndio maana watu waliokimbia umande wanakuja juu.

Cha msingi mtu asiyesoma asilalamike analipwa pesa ndogo bali cha kufanya ajiajiri mwenyewe ili alipwe pesa kubwa.

Hivyo hivyo aliyesoma, Kama anaona pesa anayolipwa ni ndogo, atafute kazi sehemu nyingine au ajiajiri

HITIMISHO
Mtu akiona anacholipwa ni kidogo aache kulalamika bali atafute sehemu nyingine au kazi nyingine yenye kumlipa

Mada closed
 
Tatizo una Elimu ya makaratasi.
Maswala ninayokuuliza hujibu basi mimi nitafuata unakotaka.

Twende na jibu lako hapo.
Utafiti wa kutaka kujua Tanzania kuna wagonjwa wa ngapi wa corona.

Na utafitli ulipofanywa ikabainika kwamba Tanzania ina wagonjwa wawili tu wa corona., kwaiyo kwa kauli yako unataka kumaanisha kwamba ripoti itatoka Tanzania hakuna corona kwa vile ni watu wawili tu kati ya M60?

Serious?

Alafu ndio useme ATI unamzidi Mpenzi wako Akili.
 
H

Mimi nadhani hoja yako haijaeleweka (haijajitosheleza) ndio maana watu waliokimbia umande wanakuja juu.

Cha msingi mtu asiyesoma asilalamike analipwa pesa ndogo bali cha kufanya ajiajiri mwenyewe ili alipwe pesa kubwa.

Hivyo hivyo aliyesoma, Kama anaona pesa anayolipwa ni ndogo, atafute kazi sehemu nyingine au ajiajiri

HITIMISHO
Mtu akiona anacholipwa ni kidogo aache kulalamika bali atafute sehemu nyingine au kazi nyingine yenye kumlipa

Mada closed

Watu ambao hawajaelewa nilichoandika ni wale wenye Upeo mdogo bila kujali wamesoma au hawajasoma.

Mbona wewe umenielewa
 
Back
Top Bottom