Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

Wajinga hawaishi Duniani.

Labda kama anazungumzia kazi za kuuza karanga, kucheza ngumu, mpira n.k.
 
Pole sana
Hayo huwezi kuelewa kwa vile una Elimu ya makaratasi.

Kuna madaktari wanaweza kumuona mtu na anajua kabisa huyu anaumwa ujongwa fulani hata kama hajampima. hayo yanawezekana sana.

Elimu inayotumika hapo sio makaratasi but self skills na hii shuleni hupati.

Sasa wewe endelea kukariri makaratasi wakati kuna watu hawajasoma finance au accounting ila wanaweza kumeneji pesa vizuri sana kuliko au wenye makaratasi.

Kwamba ndo umkatae huyo
kisa hana makaratasi?. Sio karne hii.
 
Ni Kwa sababu Akili yako ni ndogo na huyo Mpenzi wako anakustahi pakubwa, ushukuru Mungu.

Ukishasema Madaktari jua ushataja Wasomi walioenda shule kusomea hiyo Fani.
Hakuna Daktari wa kuzaliwa bila ya kusomea. Huyo hayupo.

Ati Elimu inayotumika hapo ni self Skills,😀😀.
Acha kuchekesha Watu, unaongea kama karumekenge.

MTU asome miaka Mitano, alafu a-specialize miaka mingine mizito alafu useme ni self Skills.

Elimu Kwa Dunia ya sasa sio tuu NI muhimu Bali ni lazima Kwa Watu wanaotaka kuishi Maisha ya kiwango cha juu.

Ili ujijue unaujinga kiasi gani unaweza kujiuliza,
Nchi zenye wasomi na nchi zisizo na wasomi zipo zimeendelea na zinamatajiri?
Inaweza kuwa hata hujawahi kusafiri kwenda hata hapo Nairobi. Nitakuwa nakuonea.

Fuatilia mikoa Kwa hapa Tanzania yenye wasomi na Ile ambayo haina wasomi Ipo imeendelea?
Kama hujatembea pia Hii Tanzania.

Unaweza kuangalia katika Ukoo wenu,
Familia zilizosomesha Watoto na zile ambazo hazijasomesha Watoto zipi zimeendelea.

Ukitoka hapo, nenda Kwa Mpenzi wako asafishe Hilo shamba lako la nywele ili angalau usiwe mjinga
 
Ni Kwa sababu Akili yako ni ndogo na huyo Mpenzi wako anakustahi pakubwa, ushukuru Mungu.

Ukishasema Madaktari jua ushataja Wasomi walioenda shule kusomea hiyo Fani.
Hakuna Daktari wa kuzaliwa bila ya kusomea. Huyo hayupo.

Ati Elimu inayotumika hapo ni self Skills,😀😀.
Acha kuchekesha Watu, unaongea kama karumekenge.

MTU asome miaka Mitano, alafu a-specialize miaka mingine mizito alafu useme ni self Skills.

Elimu Kwa Dunia ya sasa sio tuu NI muhimu Bali ni lazima Kwa Watu wanaotaka kuishi Maisha ya kiwango cha juu.

Ili ujijue unaujinga kiasi gani unaweza kujiuliza,
Nchi zenye wasomi na nchi zisizo na wasomi zipo zimeendelea na zinamatajiri?
Inaweza kuwa hata hujawahi kusafiri kwenda hata hapo Nairobi. Nitakuwa nakuonea.

Fuatilia mikoa Kwa hapa Tanzania yenye wasomi na Ile ambayo haina wasomi Ipo imeendelea?
Kama hujatembea pia Hii Tanzania.

Unaweza kuangalia katika Ukoo wenu,
Familia zilizosomesha Watoto na zile ambazo hazijasomesha Watoto zipi zimeendelea.

Ukitoka hapo, nenda Kwa Mpenzi wako asafishe Hilo shamba lako la nywele ili angalau u
 
Hatuwezi kuelewana. naona huna point.
Naongea hili unabadili.

Mtu unaweza kusoma hata miaka 10 na bado mwajiri akataka uzoefu wako na sio miaka uliotumia shule.

Hoja ya nchi au Mkoa kuwa na wasomi ndo kuwa na Maendeleo nu matumizi mabaya ya akili na kukalili

Elimu pekee si chanzo cha Maendeleo

Kuna Qator, UAE, kuna saud hao wana Elimu gani?.

Mikoa kuna Kagera mkoa wenye wasomi wengi kwani kuna Maendeleao gani?

Au tusema Kampuni kubwa dunia ya Apple, MS waanzilishi wake wana Elimu gani?.

Basi twende kwa watu.

Bill ana Elimu gani?

Kuna Watu ni Phd wamemzidi nini Elon mwenye Degree moja?. ndomana nimekuambia self skills. kukaa Darasani kwa Dunia ya sasa ndo kuwa vizuri hayo yamepitwa na wakati.

Hivi unajua Elon ameajiri wasomi kumzidi ila kila kinachofanya ndani ya kampuni zake ni uwezo wake na waliomzidi Elimu ni kumsaidia tu kufanya kazi zake.
 
Unaweza ukasoma na ukaokota makopo
 
Hao uliowataja wote hakuna mwenye Elimu ya Chini wote wanaelimu za juu.

Ukishakuwa na Degree kuendelea wewe ni Msomi, umesoma.

Huyo Elon musk unayemtaja Elimu yake unaijua?
 
Kwa hiyo Kwa Upeo wako MTU mmoja au Wawili Kati ya Mia moja wanaweza kuathiri majibu ya utafiti

Tatizo una Elimu ya makaratasi.
Maswala ninayokuuliza hujibu basi mimi nitafuata unakotaka.

Twende na jibu lako hapo.
Utafiti wa kutaka kujua Tanzania kuna wagonjwa wa ngapi wa corona.

Na utafitli ulipofanywa ikabainika kwamba Tanzania ina wagonjwa wawili tu wa corona., kwaiyo kwa kauli yako unataka kumaanisha kwamba ripoti itatoka Tanzania hakuna corona kwa vile ni watu wawili tu kati ya M60?

Serious?
 
H

Mimi nadhani hoja yako haijaeleweka (haijajitosheleza) ndio maana watu waliokimbia umande wanakuja juu.

Cha msingi mtu asiyesoma asilalamike analipwa pesa ndogo bali cha kufanya ajiajiri mwenyewe ili alipwe pesa kubwa.

Hivyo hivyo aliyesoma, Kama anaona pesa anayolipwa ni ndogo, atafute kazi sehemu nyingine au ajiajiri

HITIMISHO
Mtu akiona anacholipwa ni kidogo aache kulalamika bali atafute sehemu nyingine au kazi nyingine yenye kumlipa

Mada closed
 
Alafu ndio useme ATI unamzidi Mpenzi wako Akili.
 
Watu ambao hawajaelewa nilichoandika ni wale wenye Upeo mdogo bila kujali wamesoma au hawajasoma.

Mbona wewe umenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…