Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

Wewe umemzidi akili.
Mwanamke hatakiwi kukuzidi akili.
 
Huko kwenu labda.
Ukiambiwa utaje matajiri ishirini wa nchi sio ajabu wasio na Elimu ya degree wasifike watano
Umesema ukweli, matajiri wakubwa duniani na Tanzania ni wasomi wakubwa sana.

Elon musk ana masters in Physics.
Jeff Bezos ni computer engineering kama sikosei.
Mark Zuckerberg huyu hana digrii ila alifika chuo Kikuu akadisco, ila kafika na kusoma chuo Kikuu.
Jack Ma ana elimu.
Mo Dewji ana digrii.
Said Bakhresa amewasomesha watoto wake.
 
Kutokusoma isiwe chanzo cha kukubali kunyonywa. Kimsingi mtu hulipwa ujira kulingana na kazi aliyofanya sio kisomo

Sasa kama mtu ajasoma ila anauwezo wa kufanya kazi na ikakamilika why akubali malipo kidogo ilhali amefanya kazi ikakamilika?

Ni sawa na mtu ana elimu kubwa hajui kazi alafu anataka mshahara mkubwa, akikosa ajira analalamika hapati kazi.

Kikubwa usikubali kunyonywa.
 
nikusahihishe hapo umekosea mtayarishaji au muongozaji filamu hizi ni taaluma pia ndugu unakosea kuiweka pamoja na wapaka rangi za miguu wakati filamu ipo hadi vyuo vikuu kama UDSM ,UDOM wanatoa degree na hadi vyuo vingine vya diploma kama TASUBA na kingine kiko posta hivyo hii sio kazi ya wakosa elimu bro ni taaluma
 
Sio hapa bongo mkuu, bongo vyeti lazima uwe navyo hayo mengine ndo yanafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…