Mtu huyu alitunga post ya uongo kuipaisha Simba yake

Mtu huyu alitunga post ya uongo kuipaisha Simba yake

Mbona kombe la shirikisho azam fc hawajaanzia raundi ya awali kama ilivyo kwa GEITA FC? Na hujiulizi ni kwa nini AL AHLY, WYDAD, MAZEMBE, SUNDOWN

kama kanuni ni hiyo hiyo kwa nini hazikuchukuliwa zile timu 10

jiulize ilikuwaje msimu uliopita ni kwa nini timu 10 zilianzia raundi ya kwanza na msimu huu ni timu 6 pekee ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza!
Wewe unaonekana haufatiliagi mambo ya humu JF. hilo swala limeshaelezezewa humu kabla hata ya CAF kupanga ratiba zao. Ni kitu cha muda mrefu sana sema kwavile watu mmekariri matukio.

1) 2022/2023 CAF interclub special thread

2)Simba inaweza kuanzia preliminary siyo lazima kila mwaka timu 10 zianzie first round
 
Back
Top Bottom