Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Ni shida sana, pole kwa changamoto undugu ni kazi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengne usemacho n kweli maana nguo kama nguo kwa kweli amezpata za kutosha tena si za ajabu ajabu ni za kutokea kbs. Uwenda anataka akauzie sura huko kwao dagh mi pesa yng jaman halafu nitoe na nauli now.Nashangaa ikiwa umetokea Dodoma na huwaelewi tabia za vijana wa kigogo, nakushanga kuwa hujielewi tabia zenu.
Kijana wa kigogo yeyote anaekuja mjini, kwanza kila anachopata anatafuta simu, nguo mpya, na kibegi cha mgoingoni kipya, kijae nguo mpya.
Akishatimiza hivyo ni lazima aondoke kurudi kijijini kujionesha navyo. Hata iweje huwezi kumzuwia, awe kaenda shule au hajaenda, tabia hiyo ni kwa wagogo wote.
Sifahamu kisaikolijia hiyo inaitwaje lakini wagogo wote wanayo.
Huyo wala hajaondoka kwa nia mbaya wala kuwa siyo hato rudi siku za usoni, ukitaka arudi mapema ni kumuuliza habari za huko tu, watu kawakutaje, wamempokea vipi, vipi wamependa nguo na simu aliyokwenda nayo? Kitaratibu lakini siyo kwa kumstuwa kama unamsaili.
Wewe mwenyewe utakuwa nalo hilo, lipo kwenye damu ya wagogo na jirani zao kwa mbali.
Naongea kwaa uzoefu nilionao kwa wagogo, nimeajiri sana vijana wa kigogo kuanzia kazi za nyumbani, shambani mpaka ofisini, hilo wote wanalo.
Kwanza nilikuwa siwaelewei, nilipowaelewa, aah hawanipi shida kabisa tena sikosi wafanya kazi kabisa kutokana na wao wenyewe.
Hapo inabidi uwe na Reconziliation na esilience za mama Samia, usitaharuki hata kidogo. Ni kawaida sana hiyo kwao.
Usichoke, peleka na nauli ya kurudi nguzo zikichakaa.Pengne usemacho n kweli maana nguo kama nguo kwa kweli amezpata za kutosha tena si za ajabu ajabu ni za kutokea kbs. Uwenda anataka akauzie sura huko kwao dagh mi pesa yng jaman halafu nitoe na nauli now.
Hata me nna mashaka na mwandiko nauangalia mara mbilimbiliHuu muandiko ni wa "kiume" kweli?
Brother pole sana, tunaomba age range ya huyo binti ndio tukupe ushauri Ila kwa haraka haraka joto limepanda kuna muhuni wake anataka amuwahi huko bush akampelekee Moto inabidi usome maelezo yake between the lines anakwambia anataka 'akalime' jua sisi binadamu tuna vilimo vya aina mbili sasa kilimo alichokwambia wewe sio ulichokifikiria kuna kilimo kingine ndicho alichomaanisha, tunaomba umri wake tukupe ushauri zaidiKnachoniuma ni hela yng, pia nitoe tena nauli kwa mtu ambaye nilitegemea angekaa akatulia afanikiwe awasaidie na huko kwao,
24 yrs.Brother pole sana, tunaomba age range ya huyo binti ndio tukupe ushauri Ila kwa haraka haraka joto limepanda kuna muhuni wake anataka amuwahi huko bush akampelekee Moto inabidi usome maelezo yake between the lines anakwambia anataka 'akalime' jua sisi binadamu tuna vilimo vya aina mbili sasa kilimo alichokwambia wewe sio ulichokifikiria kuna kilimo kingine ndicho alichomaanisha, tunaomba umri wake tukupe ushauri zaidi
Joto limepanda huyo anataka akapelekewe Moto huko bush, hakuna kilimo hapo mwambie amalizie masomo kwanza aache kiburi wanaume wapo tu anataka akatiwe mimba huko bush kashaona maluweluwe tu huko anakosoma anahitaji mtu wa kumkalisha chini na kumpa warning kabla hayajamkuta24 yrs.
duuh kamaJoto limepanda huyo anataka akapelekewe Moto huko bush, hakuna kilimo hapo mwambie amalizie masomo kwanza aache kiburi wanaume wapo tu anataka akatiwe mimba huko bush kashaona maluweluwe tu huko anakosoma anahitaji mtu wa kumkalisha chini na kumpa warning kabla hayajamkuta
yaani we acha tu siamini kbs kama uyu kiumbe anaweza kuwa mjinga kiasi hiki kila nikijiuliza sipati majbu ila nimegundua kumbe watu wenye roho mbaya wasiotaka ndugu kwny miji yao wengne wamesababshiwa kuwa ivyo nina mpango nimwambie aache kila alichopata akiwa hapa nyumban kwng aondoke na alivyokuja navyo tu sa kama n show alitaka akatambie uko bush bs akatambe na alivyokuja navyo.Videmu vinajikutaga vijuaji sana, kuna kingine nmekisafirisha had nmekitaftia sehemu ya kufikia ila sahiv kinaleta dharau any way lolote limkute na Mungu mwenye anisaidie katika hili
Hamna mkuu wala usimfanyie hivyo usilipe ubaya kwa ubaya wewe acha afanye vile anavyoona hio age naijua, kuna binti alitoka bush akaja mjini kusoma hivyo hivyo haikupita Mwezi akawa na mahusiano na kijana nyumba ya Pili sasa tulikua tukiondoka asubuhi ni wote nyumba inabaki yenyewe kumbe binti haendi vipi sisi tunaondoka yeye anavizia anabaki nyuma anaingiza huyo kijana ndani wanafanyana ujinga, siku hio kuna kitu nilisahau ndio nilipowafuma wanafanya michezo ya kikubwa wote wakiwa uchi sebleni, yule kijana nilimtia mikwaju mikanda ya kutosha alikua mdogo km kidonge, hazikupita siku nyingi akadai anataka kurudi kwao kumbe tayari kashanasa ana mimba akalazimisha sana, ikatafutwa nauli akarudi kwao baada ya Mwezi anagundulika ana mimba katoka nayo mjini, mabinti wana Siri nyingi sana hawezi kukuambia hadi umfumenina mpango nimwambie aache kila alichopata akiwa hapa nyumban kwng aondoke na alivyokuja navyo tu
mmmh aisee muraHamna mkuu wala usimfanyie hivyo usilipe ubaya kwa ubaya wewe acha afanye vile anavyoona hio age naijua, kuna binti alitoka bush akaja mjini kusoma hivyo hivyo haikupita Mwezi akawa na mahusiano na kijana nyumba ya Pili sasa tulikua tukiondoka asubuhi ni wote nyumba inabaki yenyewe kumbe binti haendi vipi sisi tunaondoka yeye anavizia anabaki nyuma anaingiza huyo kijana ndani wanafanyana ujinga, siku hio kuna kitu nilisahau ndio nilipowafuma wanafanya michezo ya kikubwa wote wakiwa uchi sebleni, yule kijana nilimtia mikwaju mikanda ya kutosha alikua mdogo km kidonge, hazikupita siku nyingi akadai anataka kurudi kwao kumbe tayari kashanasa ana mimba akalazimisha sana, ikatafutwa nauli akarudi kwao baada ya Mwezi anagundulika ana mimba katoka nayo mjini, mabinti wana Siri nyingi sana hawezi kukuambia hadi umfume