Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Hahaha. Baada ya hiyo clip Jamaa akaokoka.
 

Kama Rais Samia Suluhu na wanaomsaidia kufanya teuzi mbalimbali wana akili na wanajali maadili mema ya watanzania na siyo kuwadharau, basi haraka sana atengue uteuzi wa mtu huyu na kutafuta mtu mwingine...

Tanzania ina watu zaidi ya 55,000,000. Ina maana miongoni mwa hawa amekosekana mtu mwema na mwenye maadili kuongoza watu wa wilaya ya Morogoro...?

Hii picha/video itumwe kwenye Twitter account ya Rais aione kwani inawezekana kabisa ameingizwa chaka na wasaidizi/washauri wake...
 
Acha wivu, mbona uchafu wako huusemi?
 
Swali lako haliko relevant!! Tikisa kichwa,jipige Kofi (inaezekana dishi limeyumba) alafu uliza swali lenye mantiki sasa

Hujaelewa?

1. Nani alirekodi hiyo video?

2. Huyo ni mke wake ?

3. Alipiga yeye? Alikodi mpiga picha?

4. Wewe ulishare hapo ilipo na kwanini ipo hapo?

Sasa niliuliza baada ya wajinga wachache kusema hiyo ni privacy yake.... nini maana ya privacy Kwenye mukhutada huu.....? Wewe ambaye dish halijayumba elezea.
 
Najaribu kutafakari,

hivi Kila mtu angefungiwa spy cam Kila anachofanya siku moja kiwe hadharan sijui wangapi wangekua safi.

Profession yangu imenifunza kua binadamu nikiumbe kinacho fanya mambo ya aibu Sana kwa jamii yake, Ila ni kiumbe kinachojua kuficha aibu zake kwa ustadi Sana, pia kiumbe hiki nikinafiki Sana kwa jamii yake hasa kinapokua na jukum kwa jamii yake mfano, utumishi wa kiroho,siasa nk.

Hivo tusimhukum Sana huyu bwana mdogo.

Kwenye maeneo ya starehe haya ni mambo ya kawaida na yumkini hata wachangiaji hum wamefanya yanayofanana nahayo.

Angekua kafanyia ofsin hapo ingekua noma.

Na mwisho nadhani wachangiaji wengi Wana (samahni lakini simaanishi kuwatusi) kaushamba-ushabiki flan hivi.
 
Hapa Paskali umeandika kama una uchungu fulani!Ila mimi najua utakumbukwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…