Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Huyu inaonekana akipewa papa tena inayobana atatoa siri zote wilayani.Mama tengeu huyu mbuzi arudi kwenye kazi yake uwakili.
 
Majungu wapi, wakati kitu kiko laivu......au wewe ndo uliyepimwa oil.
Tukio la zamani....na huyo ndugu Msando alishaomba RADHI....unadhani waliofanya VETTING yake hawakujua kandokando hilo la zamani?!!
 
It is human to err
Msando alikosea zamani akaomba radhi, maisha lazima yaendelee. Sasa kama mtu ukifanya makosa hudiserve chance ya pili basi hakuna ambaye angesimama maana sisi sote tunafanya makosa na tuna potential ya kufanya makosa
 
Mkuu wa wilaya ni muwakilishi wa Rais wilaya husika na ndie anayesimamia utekelezaji wa sera,,na ilani kupitia secretariati hivyo anapaswa kuwa mtu mwenye weledi,,na maadili ,,,so katika nchi yenye watu millioni 50+ hatupaswi kuletewa watu ambao wana makandokando.nahisi huenda serikali zetu hazitambui rasilimali watu iliyopo hivyo kupelekea majina yanayosikika kwenye mitandao na vyombo vya habari kuteuliwa.
 
Mwanaume rijali Ni kawaida iyo, mabeach boy wanaita "KUNAWA" Malaya Kama hao kuwanawanawa ni must,
Acheni chuki kwa vijana wenzenu, ulitaka ateuliwe mnyarwanda au? Maana karibia wateule wote mnawananga, sijui mama angeteua kutoka kundi la malaika
Umeshasema beach boy, huwezi fananisha na swala la uongozi na beach boy huishia juu kwa juu na sio kujirekodi, Yani sioni hata unachotetea kwa wastaarabu huyu hafai kabisa na sio swala la chuki imagine kila kiongozi awe Ana jirekodi na kutiana madole kwenye uchi na kurusha mtandaoni tutakuwa wazima kweli au mahayawani ya huko porini yasiyo na akili.
 
Mwanaume rijali Ni kawaida iyo, mabeach boy wanaita "KUNAWA" Malaya Kama hao kuwanawanawa ni must,
Acheni chuki kwa vijana wenzenu, ulitaka ateuliwe mnyarwanda au? Maana karibia wateule wote mnawananga, sijui mama angeteua kutoka kundi la malaika
Kabisa katuwakilisha vizuri mwamba

Ova
 
Ubaya wa msando ni upi?hebu usemeni sio tu kutoa lawama
 

Ni issue ya mwaka juzi , Albert hakustaili hiyo nafasi ni wa hovyo hovyo
 
isiwe nabishana na mtu ambae aliachwa na uyo Msando!!!!

maana iyo issue ya Msando ni ya miaka mingi,
Kuna mtu aliua bint yake, na alipewa urais huko nchi ya mbali
 

Ana gari zipi za kifahari mkuu? Mtu mwenye uwezo wa kumiliki gari za kifahari angefungua grocery au angekua anakimbizana na mabiashara makubwa 😢😢😢😢😢
 
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Msando nategemea atabadilika na kuacha yale mambo yao ya kina Babu Sambeke and the gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…