Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Wakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.

Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
Na wenye uwezo wakijitutumua tu kuonekana basi unakuqa ndio mwisho wao aidha kwa mitaani au wanapelekwa Ahera kabisa. Hii nchi ione hivi hivi.
 
Kwanini usiumie kwa mambo yanayokuhusu kama babako kufanya uasherati ovyo kwenye zile bar za Nfoni??
Babangu anahusika na Nini wewe Pinga, hafu usinipangie jinsi ya kufikiria na hisia ninazo feel, wengine twapenda maadili. Hafu koma kuingiza wazazi kwenye opinions, uko so immatured mfyuuuu.
 
Kwenye gari ni ukumbini iwe nyumbu?

Umejuaje ni simu ya mpambe au mpiga picha na sio selfie??

Unatakiwa kujibu ulichoulizwa tena kwa kufafanuliwa 👇👇

Jibu kwa hoja kama unaakili timamu

Huwezi kuelewa Neno chumba chake lina maana hii ...... siri au sirini

Sasa nakubadilishia swali ili kuenda na uwezo wa akili yako

Huku barazani/ hadharani nani Ameleta? Wewe mpiga picha wake? Au yeye mwenyewe?

Je bado privacy issues? In this context
 
Mheshimiwa rais inampasa kuishughulikia team yake inayomfanyia mapendekezo.

Inamfedhehesha na kudharirisha taasisi ya Urais.
Ni kweli kwa hili ni aibu tunalea jamii gani ya hvo aisee, kila mtu awe responsible kwa dhambi zake hata nikiwa Mimi. Tena Kuna Hadi video ya hadharani hivi, uongozi yapasa mtu mwenye maadili.
 
Kwaiyo angeteuliwa shangazi yako, maana hakuna mkamilifu chini ya jua, Bora ya uyo Msando, kuliko jambazi na muuaji Kama Sabaya,
Na mtekaji watu Kama Bashite
Sabaya Yuko kisongo kesi zake zinaenda mahakamani kwahyo iwe sawa viongoz wa umma kutiana vidole kwenye papuchi na video iko hadharani Sasa hapo anafundisha Nini jamii.
 
Sabaya Yuko kisongo kesi zake zinaenda mahakamani kwahyo iwe sawa viongoz wa umma kutiana vidole kwenye papuchi na video iko hadharani Sasa hapo anafundisha Nini jamii.
Ilishapita si aliomba msamaha

Ova
 
Kila mtu ana upande wake wa siri ambao jamii hauujui/hatuujui. Hyo video haimwondolei mtu kuwa mchapakazi, mzalendo n.k wakati sisi tunamuona mchafu/hafai kupitia video, mama kamuona mchapakazi, mwadilifu, anaweza kuongoza wilaya ndio maana amempa nafasi.

Btw hakuna mkamilifu chini ya jua, wewe mwenyewe unamabo yako yakiwekwa hadharani dunia itasimama!!
 
Kiongozi anapaswa kuwa mtu wa kusimamia maadili, moja ya majukumu

Unawezaje kusimamia maadili ikiwa mwenyewe mchafu wa kutupwa?
 
Ilishapita si aliomba msamaha

Ova
Kuomba msamaha alisamehewa ila kukalia ofisi ya umma acheni utani mbona yule DC wa Iringa aliomba msamaha kwahyo watu waharibu Mambo waombe msamaha mhhh, it's like promotion ya uvunjifu wa maadili aisee. Tena hapo nikumuwekea mama Samia mtego kuonekana naye Hana maadili aisee. Jaribu kwa mama
 
Kila mtu ana upande wake wa siri ambao jamii hauujui/hatuujui. Hyo video haimwondolei mtu kuwa mchapakazi, mzalendo n.k wakati sisi tunamuona mchafu/hafai kupitia video, mama kamuona mchapakazi, mwadilifu, anaweza kuongoza wilaya ndio maana amempa nafasi.

Btw hakuna mkamilifu chini ya jua, wewe mwenyewe unamabo yako yakiwekwa hadharani dunia itasimama!!
No one is perfect wengi hufanya madhambi kwa Siri ila ikishatoka nje madhara huyakwepi kabisa, tuwe tu makini na Mambo yetu kwa jamii iliyostaarabika kupata nafasi ni ngumu hata ka utendaji mzuri. Tena ingekuwa ulaya gigy alimshtaki msando kwa kumzalilisha na amgevuta mpunga mrefu
 
Msando alinunuliwaga kutoka CHADEMA- na ni fahari ya CCM kupata watu wa CHADEMA,akiwa tayari mwana CCM ndio akafanya hayo mambo ya kuchezea papa ya Gigy akiwa anarekodiwa,aliacha udiwani CHADEMA,kapewa cheo kama wanunuliwa wengine,CCM ni ile ile,hata ashuke malaika nae atakua hovyo tu kama kawaida ya Wana CCM
 
Back
Top Bottom