Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Kina mama, wazazi wasihusike katika malumbano ya uteuzi wa wanasiasa tafadhali,
Sote tumezaliwa na kina mama.

Everyday is Saturday............................... 😎
Mama Samia sio mama??

Kwahiyo unatetea huyu bogus kumtesa mamake na ye visenti vyake vinaishia kwa machangudoa wa bar na JF??
 
Ni Albert Msando.

Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?

What was he doing there? Fingering her?

What the hell is wrong with you Samia?

Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

View attachment 1827155

Ya kale yamepita😂😂

Mavi ya kale hayanuki 😎😎
 
Hata video umeiangalia ndugu?? Mbona yupo kwenye gari na sio ukumbini kama unavyosema

1.Nimekuuliza hapo nichumbani Kwake?

2. Wewe ndiye uliyempiga picha? Kama sio wewe aliyempiga aliingiaje chumbani?
 
Mkuu Nyani Ngabu , kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tuu.

Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.

Hayo makorokocho na Gigy ni personal private matter akiwa under influence of alcohol. Kuvuja kwa hizo video ni kuingilia privacy zake, kama tutapekenyeua privacy za kila mtu kwa kutumia a hidden camera, hakuna msafi, na hakuna atakayebaki !.

Mwisho, with due respect, umetumia lugha kali mno na very harsh kwa mtu gentle kama Mama Samia.

Maneno kama
"What the hell is wrong with you Samia?"
"Shameful! Repulsive! Disgusting!"
"shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?"
"Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?"
are unclalled for kwa mtu mwenye sifa kama za Mama Samia, wote tunajua vetting hafanyi yeye, yeye analetewa tuu majina, hivyo maneno makali haya, hayamstahili, mtu mwema, mpole, mstaarabu, mwelewa, mnyenyekevu kama Mama Samia.

Na kwa kuongezea, tofauti kubwa ya mwanaume na mwanamke sio physiological on sex tuu ya being male and female, bali ni psychologogal, men thinks, women feels, ukimtukana mwanaume kwa maneno makali hata matusi, mwanaume can take it na isiwe a big deal, kwasababu ana ngozi ngumu, lakini kwa mwanamke, it's not, hawa wana ngozi laini, naomba usiyalize yale macho, ukayarowesha kwa machozi, utatuumiza wengi!. Please lets spare this lovely lady kwenye baadhi ya mambo.
Just look at her Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

Nasisitiza tusimtoe machozi mtu mwenye macho haya...

P
Lugha ya Ngabu siyo, ni personal attack kwa Amiri Jeshi na Mh Mama Rais.
Ni lugha iliyokosa staha.

Anayo point ya kuhoji ila ameharibu kwa hii lugha.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Bado una kinyongo na Msando kupaki gari za kifahari nyumbani kwake wakati wewe miaka nenda rudi unasafisha vyoo marekani mamako bongo anaishia kuendesha Carina ya marehemu baba yenye usajili wa mwaka 2003..

Bado unachukia vijana wa kibongo wanaomake it in life hapahapa bongoni wakati wewe achievement yako kubwa ni kujua vocabularies ila pesa ya kufanya mambo yanayoonekana imekupiga chenga!!

Swain ukapost eti akaunti yako ina billion nane wakati mamako anakaa kwenye kinyumba cha ovyo na wewe hakuna unachomiliki kwa jina lako hapa bongo..

Fake ass bitch..
Duh
 
Kwenye gari ni ukumbini iwe nyumbu?

Huwezi kuelewa Neno chumba chake lina maana hii ...... siri au sirini

Sasa nakubadilishia swali ili kuenda na uwezo wa akili yako

Huku barazani/ hadharani nani Ameleta? Wewe mpiga picha wake? Au yeye mwenyewe?

Je bado privacy issues? In this context
 
Huyu msando kuteuliwa hicho cheo ni ku support umalaya kwenye jamii, Mimi nimeumizwa na video chafu yake na gigy dah namhurumia mkewe wallah.
 
Umejuaje ni simu ya mpambe au mpiga picha na sio selfie??
 
Huyu msando kuteuliwa hicho cheo ni ku support umalaya kwenye jamii, Mimi nimeumizwa na video chafu yake na gigy dah namhurumia mkewe wallah.
Kwanini usiumie kwa mambo yanayokuhusu kama babako kufanya uasherati ovyo kwenye zile bar za Nfoni??
 
Huyu msando kuteuliwa hicho cheo ni ku support umalaya kwenye jamii, Mimi nimeumizwa na video chafu yake na gigy dah namhurumia mkewe wallah.

Mheshimiwa rais inampasa kuishughulikia team yake inayomfanyia mapendekezo.

Inamfedhehesha na kudharirisha taasisi ya Urais.
 
Wakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.

Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
Umesema la msingi sana Mkwe.
 
Haijalishi!

Hiyo video inam-disqualify Msando kushika hiyo nafasi.
Mkuu kinadharia Msando hakupaswa kuteuliwa, lkn siyo kivitendo na hasa matendo ya ccm.

Msando analipwa fadhila. Yawezekana mmesahau kwamba Msando alikuwemo kwenye kqmati iliyoongozwa na Bashiru enzi zile kuchunguza mali za chama.

Yawezekana mmesahau Mwakyembe akiwa waziri wa habari, sanaa na michezo alimteua Msando ktk kamati ndogo aliyoiunda kufuatilia haki za wasanii.

Haya yote ni baada ya kuifinya papuchi ya Giggy
 
Ni Albert Msando.

Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?

What was he doing there? Fingering her?

What the hell is wrong with you Samia?

Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

View attachment 1827155
Inatekelezwa Ahadi aliyopewa na Jiwe. Ukiona Nyami mjini ujue kafugwa
 
Back
Top Bottom