Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Ujanja wote ulionao unafeli wapi?

Msando alifanya hayo siku za nyuma huko na akaomba RADHI....

Kwa hiyo kama alifanya siku za nyuma ndio inajustify kama ni msafi ?! Hayo ni maisha ya kawaida ya Msando

namuonea huruma mke wake , sidhani kama Albert kama ni mzima lazima atakua ameungua anataka kuondoka na wengi
 
isiwe nabishana na mtu ambae aliachwa na uyo Msando!!!!

maana iyo issue ya Msando ni ya miaka mingi,
Kuna mtu aliua bint yake, na alipewa urais huko nchi ya mbali
Yani niachane na msando huyo mwenye dick ya community isiyo na Siri, Yani dudu ya jamii kila mtu anaipandia tu, kah, hyo issue hata ka ya miaka mingapi internet do not forget Tena hii video itakuwa inamzalilisha mkewe na wanawe tu
 
Why do you want her to be mollycoddled?

Why?

Because she’s a woman?
 
Yeah yule wa iringa alisema ile kauli akaondolewa
 
Mbona magufuli aliweka majambazi kama akina sabaya na makonda serikalini na hukuuliza?

 
Tuhuma uliyoiweka mtoa mada ni ya kibinafsi zaidi. Haiwezi kuathiri majukumu ya uongozi wake akiwa Ofisini.

Jambo zuri ni kwamba Albert Msando ameletwa kuongoza kwenye Wilaya unaoongoza kwa Starehe.
Kwa hiyo personal conduct haina kabisa umuhimu?
 
Wakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.

Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
Mkuu umeandika ukweli na hii ndiyo hali halisi.
 
Kwa uelewa wangu ni kwasababu tu hiyo clip imetoka hadharani na tumeiona (labda hii iwe ndiyo kasoro kubwa) ila kuna watu ni viongozi wa kuheshimika hufanya makubwa ya kustaajabisha zaidi ya hilo la Msando. I'm not trying to defend him though.
Yes, the fact kuwa imetoka ni disqualification.
 
It is human to err
Msando alikosea zamani akaomba radhi, maisha lazima yaendelee. Sasa kama mtu ukifanya makosa hudiserve chance ya pili basi hakuna ambaye angesimama maana sisi sote tunafanya makosa na tuna potential ya kufanya makosa
kama ni hivyo hakuna sababu ya kua na kitu kinachoitwa vetting nchi hii.Kama mtu anaweza akafanya jambo lolote na akiomba radhi kosa lake linakua limefutika iko siku tutapata kiongozi ambaye hataweza kusimamia chochote kile kinachoitwa maadili,nidhamu,utu na heshima.ata hichi tunachoangaika kukisema kila siku sijui tamaduni za kitanzania,sijui maadili ya mtanzania ni upuuzi mtupu.kuna wasanii wamewai kuchukuliwa hatua kwasababu ya video zao za faragha kuonekana wazi,kuna nyimbo zimefungiwa kwasababu ya maneno waliyosema yana udhalilishaji ndani yake lakini leo pia tuna kiongozi wa umma ambaye alishindwa kua na displin na mambo yake binafsi na watu mnamtete.nakwambia kwa ujinga huu tegemea ujinga mwingi zaidi na poromoko kubwa zaidi la maadili kwenye jamii yetu na viongozi wa umma na hakutakua nawakukemea.Angalia uongozi katika namna pana,viongozi hawa hawa ndio wanaoshiriki kutengeneza na kusimamia sheria mbali mbali je kwa kiongozi kama huyu unadhani ataweza vip kusimamia swala la unyanyasaji wa kijinsia au unadhani atakua na ubunifu gani kwa ajili yakudhibiti vitendo kama hivyo.sasa huo ni mfano tu.uangangilie katika engo nyingine za ufisadi,rushwa,umalaya,uhuni,ujambazi(mf.sabaya) n.k
 
Yani niachane na msando huyo mwenye dick ya community isiyo na Siri, Yani dudu ya jamii kila mtu anaipandia tu, kah, hyo issue hata ka ya miaka mingapi internet do not forget Tena hii video itakuwa inamzalilisha mkewe na wanawe tu
Dada we una yako na uyo Msando. Kaa muyamalize mrudiane tu,
 
Mbona teuzi ya ole sabaya hukushangazwa?
Wako wenye akili walishangazwa.Ata hili la ole sabaya ni matokeo ya kijinga ya hivi hivi.Leo tunatumia muda na fedha za umma kuendesha kesi ya sabaya kwasababu hatukuchukua hatua wakati mambo yake ya ovyo yalivyosemwa na badala yake tukamtunuku cheo.Kilichotokea kila mtu anakijua.
 
Mama yeye yupo pale kulegeza macho kwenye teuzi zake nyingi amevuruga,mfano waziri wa fedha,waziri wa utalii n maliasili tumepigwa....ukija manaibu katambi,ndejembi,naibu waziri utalii nae hewa kabisa,
Kipindi hichi cha covid kenya imepunguza tozo kwa 50% kuvutia utalii,kwetu kodi zimeongezeka kwenye utalii,ukiwa arusha gari za wageni unahesabu yani anafanya teuzi huku anarembua
 
1. Kwani Maadili ni nini? Unaweza kuamua kufanya mapenzi na mkeo/Mumeo sokoni kisa halali kwa waliooana?

Hebu kidogo eleza......

Maadili ni nini? Tafuta jibu ukielewa jiulize unatetea nini.
Swali lako haliko relevant!! Tikisa kichwa,jipige Kofi (inaezekana dishi limeyumba) alafu uliza swali lenye mantiki sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…