Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliJe wajua? NI watu 538 tu ndo hupiga Kura ya kuchagua raisi wa marekani
Sio kweliUchaguzi wa Marekani ni wa kipumbavu sana. Mtu anaweza shinda kura nying sana za wananchi ila akaja kuenguliwa na kikundi cha watu 538 wanaojiita electoral college. Ili uwe mshindi wa urais lazima upate kura 270 za hawa wajumbe wa electoral college hata kama kwenye kura za kawaida ulishinda. Hakuna demokrasia huko
Unaweza kuthibitisha hili.Je wajua? NI watu 538 tu ndo hupiga Kura ya kuchagua raisi wa marekani
Tulia mtoto wa juzi. Kajielemishe kuhusu electoral college ya marekani!Unaweza kuthibitisha hili.
Stori zenu za vilabuni huko mnaleta JF.
Atutengenezee mfumo wa kupiga kura kwa biometricsMedia ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.
Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.
Akawaita mainjinia wa twitter na kuwaambia kuwa wafumue mfumo ili tweets zake ziweze kuonekana mara 1000 zaidi! Jamaa wakafanya hivyo.
Sasa naona jamaa ni MAGA hasa. Sijui kaahidiwa nini? Post zake za kusupport republicans zinavuta mamilioni ya watu.
Influence ya jamaa inaweza kuamua rais wa US.
Hata kwenye hiyo electoral college hupitishwi pitishwi kirahisi rahisi na kijanja janja tu.Tulia mtoto wa juzi. Kajielemishe kuhusu electoral college ya marekani!
Marekani rais hachaguliwi kwa kura acheni kudanganga watuHistoria ya Marekani ni tofauti sana na Singapore, Marekani Rais anachaguliwa kwa kura tu, kuanzia wagombea katika vyama hadi Urais. Japo vyama huwa vina uwezo wa kutozingatia kura za wanachama ni nadra sana kufanyika hivyo.
Kuhusu mtu yeyote kuwa Rais kwa Marekani inawezekana mradi amekidhi vigezo muhimu vya katiba.
Ndio ukweli mchungu hata kama hamutaki kuusikiaSio kweli
Sasa wananchi wanapiga kura zanini ikiwa rahisi anapitishwa ama kuchaguliwa na electrol?Hata kwenye hiyo electoral college hupitishwi pitishwi kirahisi rahisi na kijanja janja tu.
Lazima ushinde kwa kura zinazotakiwa na hao wahusika.
Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.
Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.
Akawaita mainjinia wa twitter na kuwaambia kuwa wafumue mfumo ili tweets zake ziweze kuonekana mara 1000 zaidi! Jamaa wakafanya hivyo.
Sasa naona jamaa ni MAGA hasa. Sijui kaahidiwa nini? Post zake za kusupport republicans zinavuta mamilioni ya watu.
Influence ya jamaa inaweza kuamua rais wa US.
Kwa mfumo wa marekani hawezi, labda wawe wengi lakin peke yake hatoweza, ni kutokana na mfumo na misingi ya kupata kiongozi ilivyo pande hizoMedia ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.
Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.
Akawaita mainjinia wa twitter na kuwaambia kuwa wafumue mfumo ili tweets zake ziweze kuonekana mara 1000 zaidi! Jamaa wakafanya hivyo.
Sasa naona jamaa ni MAGA hasa. Sijui kaahidiwa nini? Post zake za kusupport republicans zinavuta mamilioni ya watu.
Influence ya jamaa inaweza kuamua rais wa US.
Uongo!Je wajua? NI watu 538 tu ndo hupiga Kura ya kuchagua raisi wa marekani
Electro vote ni kura jumuishi . Kila jimbo lina idadi kadhaa ya electro vote. Hizi ni za muhimu kwani zinasadia raisi asichahulie na upande mmoja tu anaokubalika. Mfano kwa tanzania mgombea anaweza chaguliwa na kanda moja na akawa raisi kisa tu hiyo kanda inawakazi wengi.Uchaguzi wa Marekani ni wa kipumbavu sana. Mtu anaweza shinda kura nying sana za wananchi ila akaja kuenguliwa na kikundi cha watu 538 wanaojiita electoral college. Ili uwe mshindi wa urais lazima upate kura 270 za hawa wajumbe wa electoral college hata kama kwenye kura za kawaida ulishinda. Hakuna demokrasia huko
Electoral College haifanyi kazi hivyo, wanaopiga kura za Electoral college ni raia wa kawaida kabisa ambao wengi ni wanachama wa vyama husika. Wakati wa uchaguzi wa rais kila chama huwa kinawasilisha wapiga kura wake wa Electoral college(electors) katika serikali za majimbo na mgombea anayeshinda kwa wingi wa kura katika hilo jimbo electors wa chama chake tu ndio wanapewa mamlaka ya kupiga kura ya Electoral college.Wananchi kupiga kura wanapiga tu kulingana na uelewa wao na matamanio yao ya kumchagua mgombea fulani wanaye mpenda.
Lakini kujua ni kiongozi yupi anafaa zaidi na kulinda maslahi mapana ya taifa husika,
Lazima iwepo kamati ya watu wenye uelewa mkubwa wa mfumo mzima wa nchi ulivyokuwa, ulivyo na utakavyokuwa.
Hivyo lazima wahakikishe huyo mtu anafaa kuendeleza matakwa yaleyale kwa maslahi mapana ya taifa.
Haijalishi chama cha huyo mgombea.
Marekani ina vyama vya kisiasa zaidi ya 30 kama hujui ila viwili ndivyo maarufu zaidi kwa sababu viko katika kila kona ya nchi. Kaa ukijua hivyo.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili.
Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia.
Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha.
Amekuwa republican proganda machineOna anachopost kwenye akaunti yake ya X. Ni vijembe tupu kwa Democratics
View attachment 3056065
View attachment 3056066