Mtu kama Elon Musk anaweza kuamua nani awe Rais wa Marekani

Mtu kama Elon Musk anaweza kuamua nani awe Rais wa Marekani

Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.

Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.

Akawaita mainjinia wa twitter na kuwaambia kuwa wafumue mfumo ili tweets zake ziweze kuonekana mara 1000 zaidi! Jamaa wakafanya hivyo.

Sasa naona jamaa ni MAGA hasa. Sijui kaahidiwa nini? Post zake za kusupport republicans zinavuta mamilioni ya watu.

Influence ya jamaa inaweza kuamua rais wa US.
Hakuna cha ajabu hapo. Hana influence ya kuamuwa rais wa marekani.
 
Back
Top Bottom