Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Pascal I know you remember "protest" as a theme in literature. Let him be kaka. Don't make a lot out of his protest to oppression
 
Hata Mh. Mbowe anaombea COVID19 iingie Tanzania, maana kahamasisha mikusanyiko tar 4 April 2020. Nadhani wapinzani wameshiwa kabisa sera.
 
Paskali, pamoja na changamoto lukuki tulizonazo, anayeliombea taifa mabaya si mwema, lakini siwezi kumwita shetani kama ulivyofanya. Huenda anasababu zake hata kama hatukubaliani naye. Kwa mfano, kama mikutano ya siasa ilizuiliwa, iweje jeshi la polisi lizuie wa upande mmoja tu? Huenda huyu uliyemwita "shetani" anaona corona - anayoiombea - itakuwa neutral na hivyo mikusanyiko yote itakuwa haifanyiki. Kwa maana nyingine mbele ya hilo dude mashetani wote uliowataja watakuwa sawa.
 
We ulitaka waombee nini mkuu...... Washamba na malimbukeni wa taifa ndo waliowaambia watz kua nchi itaendelea kupokea wachina kwani ni marafiki zetu kitambo......
KWA vitendo walioko madarakani kuanzia na jiwe ndo waliofanya kazi kubwa ya kuomba corona iingie nchini maana kuna mwanya wa upigaji diri
 
Jamaa ee mambo yasiwe mengi na mengi yasiwe mambo, kitu cha mchina ndo hichooo kishatua sasa anayeombea asiombea wote mulemule....Tukumbuke kukaa kwa tahadhari...
 
Unajua ukiwa na mtoto alafu kila mara unampiga tena kwa kumuuonea kwa sababu una nguvu, ujue kimoyo moyo anakuombea mabaya,

Hata marekani Rais Trump sasa anapimwa kwa uadilifu na uchapakazi wake ktk kushughulikia ugonjwa huu wa corona.

Tumesikia sana kwamba kuna akili kubwa na kuna akili ndogo (wanayesijua wanazijua)

Serikali Imefeli from the starting point.

Kabla serikali ilichukua hatua gani?
Imewezaje kupuuza juhudi za nchi jirani kama Uganda ambapo mgeni yeyote ukiingia Uganda unapigwa karantini ya siku 14 uwe na dalili au laa! Sasa Waziri Ummy ulizubaa wapi?

Mpaka et mtu anajipiga karanteen hotelini yeye mwenyewe.

Sasa ameambukiza wangapi?

Waziri Ummy Wizara hii ya Afya imekunda.

Sijue labda huwa unasema sana, tena kwa style ya kama unamuhutubia speaker bungeni


Siasa tu. na brabraaa nchi hii.
 
Vishetani vinateteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…