Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Jana kuna mtu aliuliza kwa mshangao JF imekuwaje?
Mbona mijadala yenye tija kwa watu kujibu hoja kwa hoja haipo??
Kwa mada hii ya Mkuu Pasco watu wanatoka nje ya mada na matusi juu yake.
Iko haja JF admin ikaja na mfumo mpya wa usajili hasa jukwaa hili la siasa.
Hoja ya maana inapotolewa kama watu hawana mchango hata kama ni kuipinga kwa facts bora wakae kimya kuliko kuitana majina ya ajabu ajabu.
Bila shaka Melo na wenzio japo.l mnafanyia kazi nyumbani, tutazingatia hoja kuirejesha JF kuwa great thinkers site.
Nie uendawazimu kuwaombea mabaya Watanzania kwa kuwa na shauku magonjwa kama Corona yatuvamie. Sio sawa hata kama tuna utofauti wa kiitikadi.
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa Moyo wote
Sent using Jamii Forums mobile app