omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Na jitu linalogawa Kodi zenu bila mpangilio unazani liko sawa kichwani??Ndio maana wanakwenda magerezani na matarumbeta hao ndio wanao hiharibu chadema!
UpupuUpdate
Rais Magufuli auita ugonjwa wa Corona ni shetani.
Amekemea wanaofanya mzaha kuhusu Corona
P
Mkuu Michael makene , asante nimekisikia, na karibu mitaa hii....wewe ndg nilikua nakukubali Sana kwenye uchambuzi na kuusema ukweli bila kumungunya maneno lakini tokea uende kwenye kamati ya job umekua muoga balaa....simama katika ukweli itetee nchi yako washauri watawala bila kuogopa Kama watanuna hii taifa ni lakwetu sote mlipuko ukizidi tutaumia sote....waandishi nguri Kama wewe ndio wakati wenu wakupaza sauti mliponye taifa Kama mnashindwa kukemea muonapo kusua sua kwa wenye dhamana basi toeni elimu kwa jamii namna ya kujikinga na maambukizi
Pasco naona maombi ya technically yamejibiwa!Mkuu Michael Makene, asante nimekisikia, na karibu mitaa hii.
P
Je, polepole yeye anauitaje huo ugonjwa?Update
Rais Magufuli auita ugonjwa wa Corona ni shetani.
Amekemea wanaofanya mzaha kuhusu Corona
P
Harafu nasikia maombi ya huyu jamaa yalikuwa makali sana hadi yakainua tamaa za viongozi wetu ya kupendaWanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".
Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!
Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!
Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!
Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani
Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.
Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?
Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?
Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.
Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Updates.
View attachment 1391238
JF has impact, ukisikia taarifa ya serikali kuhusu mitandao ya kijamii, ujue ni jf.
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Na yametuonesha Yale majigambo ya pesa ipo au kugawa pesa Kama njuu kwenye ziara ilikuwa usanii tu na hadaa kwa watanzania Ila watu wenyewe wamechoka kuliko matonyaPasco naona maombi ya technically yamejibiwa!
Kikawaida "waovu hawaogopi maradhi bali wanaogopa sana maradhi yanayopelekea kifo hususan cha haraka!" Nilipata kuandika humu miaka takriban saba iliyopita na nikaandika tena miaka takriban mitatu iliyopita... hakuna auaye halafu yeye akabaki hai!!Kabdla ya kuja ma haya mapóvu ungekaa kimya kWanza utafakari nini kimempelekea aseme hivyo...
!!?
Hapo kwenye "watalii" ndipo tatizo lilipoanzia lakini aaaah natunyamaze tu...Harafu nasikia maombi ya huyu jamaa yalikuwa makali sana hadi yakainua tamaa za viongozi wetu ya kupenda
vipande 30 vya fedha za watali kuliko uhai wa watanzania
Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".
Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!
Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!
Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!
Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani
Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.
Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?
Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?
Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.
Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Updates.
View attachment 1391238
JF has impact, ukisikia taarifa ya serikali kuhusu mitandao ya kijamii, ujue ni jf.
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Sio jambo jema kabisa kuliombea taifa lako mabaya. Na Alichokisema hapa mtoa mada ni jambo zuri. Maana hapo ni kama taifa lako linataka kushambuliwa na magaidi alafu wewe ufurahie.Najua P Mayalla una lengo la kuwa expose wengi zaidi. Hujaacha kile ulichomfanyia Kabendera.
Lengo lako ni comments kama hizo zitiririke hapa upeleke file huko.
Una roho mbaya sana, ila watu tu hawakujui.
SafiiiiiPascal Mayalla, Mbona tayari tunaongozwa na kiongozi mharibifu kama corona tu!
Ubaya wa corona ni kuua, kutesa watu kwa maumivu, kuleta hasara mbalimbali kiuchumi, kijamii n.k...
Yote haya tunayo, ungesema hivi... jamaa angetuonea huruma anatuombeaje corona nyingine wakati hii inatumaliza pia!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
** Polisie si wamtaje tu huyo katibu mwenezi wa chama fulani aliyesema wapinzani (Chedema) ni kama Corona. Sasa sijui wanafuatilia nini hapa yaani hii nchi...Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".
Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!
Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!
Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!
Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani
Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.
Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?
Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?
Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.
Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Updates.
View attachment 1391238
JF has impact, ukisikia taarifa ya serikali kuhusu mitandao ya kijamii, ujue ni jf.
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Nakuambia siku ikitoka taarifa kwamba Magu amefyekelewa mbali na corona au na drone ya muamerica sherehe kubwa itafanyika na corona tutaisahau.Huwezi ukawanyanyasa watu kwenye nchi yao eti kwa kuwa una madarakaBinafsi ninapinga sana wanaombea kwamba Corona iingie nchini. Maana si jambo la kuchukulia poa.
Jambo la kujiuliza inakuwaje watu wafikie hali hiyo? Ukiacha wanaoombea Corona, kuna wale wanaoombea vita itokee, yaani nchi yetu ivamiwe na ipigwe. Matukio ya maafa kwa miaka mingi yamekuwa yakiwaunganisha watanzania na kujikuta wakiweka kando tofauti zao za aina yoyote ile.
Tumeona sasa hivi hata askari wetu wakipigwa ambush na kuuawa huko nje badala ya wengi wetu kushikwa na majonzi na kuombeleza, hali huwa kinyume chake, wengil hushangilia na kuhisi Mungu ameingilia kujibu 'maombi'.
Kwa hadhi yako Pascal Mayalla ulipaswa ujiulize na kulaumu beyond this point. Sasa hivi taifa siyo moja tena, taifa limesambaratika na mioyoni watu hawapo nalo, kuna watu wametufikisha hapa ni wakina nani hao? Kwa nini? Ili iweje? Nini kifanyike?
Kwa hali iliyopo Petrol imeshamwagika na kusambaa kote, akipita mwendawazimu na kipisi cha sigara yenye moto na kutupia au akawasha kiberete au akasababisha msyguano wowote ule basi Tanzania itakuwa imeshaanza rasmi safari ya kuzaliwa upya.
Aangalie tu corona isimfyekelee mbali,Mungu anaisafisha duniaNajua P Mayalla una lengo la kuwa expose wengi zaidi. Hujaacha kile ulichomfanyia Kabendera.
Lengo lako ni comments kama hizo zitiririke hapa upeleke file huko.
Una roho mbaya sana, ila watu tu hawakujui.
For people who like data:
82,000 People are sick with Coronavirus at the moment,
of which 77,000 are in China.
This means that if you are not in or haven't recently visited China, this should eliminate 94% of your concern.
If you do contract Coronavirus, this still is not a cause for panic because:
81% of the Cases are MILD
14% of the Cases are MODERATE
Only 5% of the Cases are CRITICAL
Which means that even if you do get the virus, you are most likely to recover from it.
Some have said, “but this is worse than SARS!”. SARS had a fatality rate of 10% while COVID-19 has a fatality rate of 2%
Moreover, looking at the ages of those who are dying of this virus, the death rate for the people UNDER 50 years of age is only 0.2%
This means that:
if you are under 50 years of age and don't live in China - you are more likely to win the lottery (which has a 1 in 45,000,000 chance)
Let’s take one of the worst days so far, the 10th of February, when 108 people in CHINA died of Coronavirus.
On the same day:
26,283 people died of Cancer
24,641 people died of Heart Disease
4,300 people died of Diabetes
Suicide took 28 times more lives than the virus did.
Mosquitoes kill 2,740 people every day, HUMANS kill 1,300 fellow humans every day, and Snakes kill 137 people every day.
Mkuu vipi bado Raisi anauita ugonjwa shetani au ?.maombi yake yamefanikiwaUpdate
Rais Magufuli auita ugonjwa wa Corona ni shetani.
Amekemea wanaofanya mzaha kuhusu Corona
P
DuhUpdate