Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

INGAWA KUNA MUSHKELI YA KIUTAWALA KIUTENDAJI....LAKINI KUITAKIA JANGA NA BALAA NCHI YAKO AMBALO LINAWEZA KUPELEKEA MAAFA MAANGAMIZI BINADAMU WENZAKO AMBAO PENGINE WENGI WAO HAWAJUI HATA YA SIASA NA UTAWALA NI USHETANI WA KIWANGO CHA JUU...SOTE TU KWA NEEMA TU YA MUNGU NA WALA SIO KWA KUWA TUNATENDA SANA MEMA....

HAO ANAOWAOMBEA HIVYO WANA UWEZO WA KUNUNUA BARAKOA HATA GUNIA ZIMA NA KUJIFUNGIA NDANI HATA MWAKA MZIMA....HALI ITAKUWAJE KWA SISI WANYONGE AMBAPO KULA YETU MPAKA TUTOKE.......

COVID 19 HAIANGALII CHAMA WALA RANGI YA MTU!
 

Tulionya kuwa msishangilie mapema kuhusu idadi ya Corona. Sasa mnaona wenyewe
 
Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona
  1. Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums
  2. Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa - JamiiForums
  3. Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
  4. RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe - JamiiForums
  5. Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
  6. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona - JamiiForums
  7. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
  8. Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
  9. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
  10. Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa? - JamiiForums
  11. Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!. - JamiiForums
  12. Kwa Kasi Sasa, Jee Tuendelee Ushujaa wa Ka-Corona, Tusitishane, Tuchape Kazi Tukiteketea, Au Sasa Tubadili Msimamo Tusitisishe Mikusanyiko Tuokoke? - JamiiForums
  13. TBC - Mjadala wa Role of The Media kwenye mapambano ya Corona, Je, Media Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  14. Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  15. Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
P
 
Wendawazimu ni wengi, unaombea Corona ije, Wakati yenyewe haichagui Wala kubagua, haina itikadi ya Vyama eti kwamba kuna mtu huwa anatuonea labda itamshambulia yeye

Haina kizuizi kumshambulia mtu wa Chadema ama CCM, mwenye pesa na masikini wote twende

Halafu mtu tu atokee sijui kuzimu aje kufurahia na kuombea Corona ije!!

Hukumu si juu ya Binadamu, lakini ingelikuwa ni juu ya Binadamu, angelaaniwa na watu wote, hasa wanaokufa na kuacha wajane na watoto yatima Kwa sababu tu ya hasira za kijinga na midomo michafu, angelaaniwa na makao yake yakawa mfano wa mbwa mwitu yeye na kizazi chake

Pumbavu kabisa
 
Wewe ni shetani mchumia tumbo. Acha masihara kwenye maisha ya watu. Pasco, KARMA is real, watakufa ndugu zako au mke kwa Corona ndio akili zako zilizojaa njaa ya uteuzi zitakaa sawa.
Duh...!., Mkuu tzkwanza , hata kumuombea mtu Corona imuue mke wake au ndugu zake ni ushetani pia, and mtu kumuombea mabaya mtu mwingine yoyote, karma ya maombi hayo can reverse!.
Asante.
P
 
Yan mm ningefurah ingeaza na yule kiguru anayekalia kile kiti pale makao makuu ya nchi na yule mwenzake mwenye sura mbaya kama banda la Uani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu siyo Pascal Mayalla useme atakuwa mnafiki.Naamini Pilato wa Chato atakufa kwa Corona, mark my words!
Duh...!. Behaviourist , kumuombea mtu yoyote kifo ni chochote ni sawa na kumtabiria kifo, hivyo wewe ni nabii wa majanga!!, ila kwa vile Corona ni shetani, kumuombea mtu yoyote apate Corona ni ushetani!. Tuweni na utu wa kuliombea taifa hili janga la Corona lipitilizie mbali, tuwe binadamu jameni tusiwe mashetani!.
P
 
Naomba Mungu watu washuhudie wewe Mayalla P, ukifa ili waseme uongokuhusu kifo chako.Usipate nafasi ya kushuhudia ila watu wakushuhudie wewe
Duh...!, Mkuu Tusitingile!, yamekuwa hayo!.
Kumuombea mtu yoyote kifo ni chochote ni sawa na kumtabiria kifo, hivyo wewe ni nabii wa majanga!!,
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba! - JamiiForums

ila kwa vile Corona ni shetani, kumuombea mtu yoyote apate Corona ni ushetani!. Tuweni na utu wa kuliombea taifa hili janga la Corona lipitilizie mbali, tuwe binadamu jameni tusiwe mashetani!.
Japo wewe ni binadamu, ila unaweza kujikuta umegeuka shetani bila wewe kujijua!.
Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums

P
 
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa na Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu

P
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…