Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Wazanzibar bado kibano kitawahusu maana jeshi na state organs zote zitakuwa controlled na vice president ambaye jina lake litajulikana kabla ya j3
Duh...!. Civic Education bado inahitajika sana kwa Watanzania. The President of URT ni Executive President, she is the head of state, head of the Executive arm of the state, the government and CinC of the Army!. Hata akitokea Zanzibar, she is!. Huyo Makamu wa rais kutoka bara, sasa ndio atakuwa anatembea na mikasi!.
P
 
Ila wasukuma cjui mnajisikiaje kuongozwa na mama?????
 
The learned Paschal Mayalla,

Resume on the platform to offer your valuable insights touching the national interests especially at this time to sustain your status despite a few taking it personal resorting with counterattack on individual's personality attack rather than focussing on issues affecting national and community interests.
 
Corona imetambaa na aliekuwa anailetea mzaha. Sasa walamba viatu mna haha kila kona.
 
Dear paschal thank you for your thread!

I agree with you that it is concerning how a normal supposedly rational human beings can reach to a point of wishing death for their opponents. I am equally appalled by the level of intolerance to opposing views shown by members of this forum and how quickly some resort to vulgar, demeaning, abusive and offensive language instead of reasoned arguments where people differ respectably.

As intellectuals we should ask ourselves the following soul searching questions: -

(i) How did we end up here?
(ii) How did our beloved nation which taught us, as young people, to be civil and call our fellow citizens as relatives "NDUGU" end up with a generation of people that is so angry with their fellow citizens to the extent of wishing them death?
(iv) How did a country that led the independence struggle to enable our neighbors to enjoy the freedom to partake in political activities, to vote and freely express their views end up in the same socio political quagmire that we were trying to get our neighbors from?

To be sincere nowadays political discussions at all levels are not interesting mainly because they lack substance and are overly focused on personal attacks and character assassinations. I know you paschal are a politician or at least you aspire to be one. I strongly suggest that you use your connections and the power of a pen that you have to propose to your fellow politicians that we need to go back to the basics.

I grew up in an era where it was compulsory to learn politics (Siasa) as a subject from primary school up to form four. Siasa exposed me to the thinking of our political leaders of the time and I find some of their fundamental beliefs to be relevant today. I am of the opinion that we need to re-visit the ten CREEDS of a TANU Member (AHADI 10 ZA MWANA TANU) and use them as our compass in re-defining the political future we want for our kids:

AHADI 10 ZA MWANA TANU:
(i) Binadamu wote ni ndugu zangu na Dunia ni moja
(ii) Nitaitumikia nchi yangu na binadamu wenzangu wote kwa unyenyekevu na moyo wa upendo na huruma
(iii) Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, maradhi, na dhuluma hapa nchini na duniani pote
(iv) Rushwa ni adui wa haki, sitatoa wala kupokea rushwa
(v) Cheo ni dhamana sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu
(vi) Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kuitumia elimu kwa faida ya wote
(vii) Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu na dunia yenye haki na amani
(viii) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
(ix) Nitakuwa raia mwema wa Tanzania, Afrika na Dunia nzima
(x) Nitakuwa mtii kwa Rais na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

I am not sure how many politicians in the ruling party these days understand and practice these 10 creeds that the founders of our nation crafted. In fact the 10 creeds had a very global outlook that we seem to struggle with nowadays.

Tata - Omoghaka Wi Chinsiku
 
wazee wa chato Bure kabisa. Tena bure haswaaaaa! Mmeshindwa kumuokoa mtoto wenu?? Ameteketea ziiiii!!! Kwenye shimo la Gamboshi??? Tena hapo karibu tu.
Sasa mtaisoma number wachawi wa nchi walikuwa wanasoma mchezo tu. Tena wakiwa na full huruma.

Sasa huyu Mtoto wenu Rais yuko msukuleni kuleeee alipokwenda Sokoine. Ila sokoine ni mzee sana hata hakumbuki.

Huko amekwenda kuimarisha miundo mbinu ya Gamboshi mkizika tu ndo ntoleee!!!

Sokoine watu walilia sana hilo ni kosa kubwa walifanya kwa kutokujua. Sasa awamu hii msilie wala kutoa chozi muone maajabu narudia tena msilie!!!!

Huyu jiwe alikuwa mweupe sana Ajili ya usomi hewa.hakuwa na chale hata moja ajili ya kuamini yesu mzungu.hii ulimwengu ni mali ya shetani na wafuasi wake.....

Mama samia usithubutu kudharau ushauri wa Majaliwa utafika mbali.
Kale kajamaa ni katoto ka wachawi wa nchi nilisoma nako paleee Butimba TTC.kanajua mengi ila jiwe alikadharau. Kuteuliwa kwake walimshauri. Sasa hatuna pa kusemea.

Huyu paschal ni mjukuu wa Gamboshi tena lile Gwiji haswasaaa nimekutana nae huko usukuleni mara kibao.

Ukidharau ngoma itakuja kivingine kamateni ushauri wangu.

Kingine msikimbilie kuzika muone maajabu. Subirini mkiweza nitumieni ndege faster narudia tena mtu awaye yeyote asilie mtoto wala mkubwa

Kosa lake kubwa marehemu alitumbua watoto wa wakubwa wa wa wachawi wa nchi tena na dharau kubwa juu.richa ya maonyo kadhaa

Ndo yale yale ya Maskini sokoine wa watu wote mnajua humu. alikwenda wapi na yuko wapi na alionekana wapi hadi magazeti ya ulaya waliitoa hiyo

kwa.hilo Janga mtazika Gomba tu. Ila jamaa ni makasi sana bado ana element za u rais. Mbishi japo anafokea fokea walinzi!!! nawaambia.

Rahisi tu ebu fikiria mtu amekufa kwa covid wao wanaongopa eti heart fibrrilation????wapi na wapi???

Wewe unadhani kwa nini wakubwa wa nchi zote pamoja na marais wengi wanavushwa bahari na kwenda kutibiwa Ulaya? Kule wanafanya yao kiubwetee!!!

Hivi mnajua zile ndege zinazo wabeba hao viongozi zinapita angani kwa mtindo gani???

Ikiwa ni pamoja nakuzunguka Bahari ya hindi kwa usawa wa mvuke wa bahari mara kadhaa??!!!

Jiwe alikuwa mweupe sana. Mtoto mdogo kichawi maskini hakujua.

Angalia nyerere alikumbatia watoto wa wachawi wakuu wa nchi wakiwemo wengi tu. Kutoka sumbawanga.na kona nne za malango ya nchi? Mnajua ??? Kwa nini alingangania mwenge uzunguke nchi nzima kuroga na Moshi ukitutumuka???
Dunia nzima ni Tz tu!!

Mbaya zaidi wengi qa qatoto wa wachawi wamestaafu.
tawala zingine zote waliheshimiwa sana.kupitia Nyerere .....sasa mziki mnao chezeni sawa. Haya !!!yangu ni hayo!!!!!
Mkipuuza mtanitafuta leteni ndege mapemaaa. bila masharti muone maajabu.Japo wengine humu wajua!!

Paschael mayalla muangalieni kwa jicho la tatu ana Mengi ya sirini!!!

Mkimkandamiza kwa ujuha wenu hayaaaaaa.......nasema tena mtacheza ngoma msiyoijua.

Wachawi wanchi ni lazima ili mambo yaende.....kamatieni huyu kijana Majaliwa msithubutu kumsema namjua ni nani..ktk zindiko la nchi.yesu mzungu hayupo na wala hakuwepo na wala hatakuja waafrica weusi mtasubili sana na kuitwa nyani kimwendelezo. mpaka mchakae vizazi mpaka vizazi wenye yesu wao huyo wanawachora tu kupitia watu km Gwajima de Great Man agent of hell!!....
 
Duh
 
Hii ipo kwenya katiba sawa,lakini kiuhalisia mambo yako vingine kabisa.Sijui kama unakumbuka swali ulilouliza kipindi kile bado una akili kuwa

" muheshimiwa umetumia mamlaka gani kutangaza zuio la mikutano ya siasa mpaka 2020"
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Eti makamu atakuwa anatembea na mikasi.
 
Aiseeee
 
Pascal muda wa umeisha sasa unatakiwa kurudi kwenye fahamu zako mmesifia kwa miaka mitano sasa kumekucha toka usingizini, msalimie bashitee mwambie kuna wana wako jela wanamtamani kinoma
 
Mnafiki mkubwa wewe...mlamba matako....Kuwa neutral ni kitu kizuri....kafie mbele mshenzi mkubwa wewe....Next is you
Sasa mbona unamshushia matusi kutokana na ukweli aliouelezea? Hizo ni chuki binafsi zilizopandwa kwa muda mrefu umetafuta tu mazingira kumshushia hadhi kiharifu kwa mtindo huohuwezi kumwambia mwenzio '...next is you....' are you guaranteed and vouched with God's will?

Mawakala wa ukuwadi na uharifu ndio mnajitokeza nusu nusu miktafuta nafasi kujidhihirisha bayana unafananaje na kwa ajili ya nini!!!

Mheshimuni P, hata kama hukubaliani na mambo mengine mnayoyajua lakini kwa hili umemwonea pasipo kuwa na sababu zozote.
 
Duh hii mpya
 
mkuu Pascal Mayalla vipi hatima yako baada ya mheshimiwa kututoka?
 
Acha uahetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…