Mtu kama Makonda ashukuru sana Watanzania siyo watu wa kisasi

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake.

Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo.

Nakwambia wasingemwacha. Wangesema naye tu kumuuliza ulivyokuwa ukitutendea vile ulifikiria Uongozi utakuwa nao Milele?

Anyway naamini hii roho tuliyo nayo ndo hufanya wanasiasa wawe vile wanakuwa wanajua mwisho wa siku yanaisha....tuendelee kuwa hivi hivi na wao wajaliwe kuwa vile vile.
 
Hakuna adhabu kubwa kama aliyo ipata baada ya jiwe kutangulia mbele ya haki.
 
Makonda amebakia kuwalipa wasukuma wenzie wamtukane madam president mitandaoni
 
Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake.

Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo.

Nakwambia wasingemwacha. Wangesema naye tu kumuuliza ulivyokuwa ukitutendea vile ulifikiria Uongozi utakuwa nao Milele?

Anyway naamini hii roho tuliyo nayo ndo hufanya wanasiasa wawe vile wanakuwa wanajua mwisho wa siku yanaisha....tuendelee kuwa hivi hivi na wao wajaliwe kuwa vile vile.

Endelea Kujidanganya hivyo hivyo Ndugu wakati kuna Watu wanamlia tu ' timing ' walipizie yote.

Kama anajiamini mbona hatulii Mkoa Mmoja au eneo Moja na Kutwa anahamahama tu?

Na kama kuna Mtu asiyekuwa na Raha wala Amani kwa sasa ni huyu Intarahamwe na Mpuuzi wenu.
 
Watu lazima walale nae mbele tu maana hakuna namna.
 
Jinga sana lile akili ziko matakoni tu liko mtandaoni linamtukana mama
 
Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake.

Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo.

Nakwambia wasingemwacha. Wangesema naye tu kumuuliza ulivyokuwa ukitutendea vile ulifikiria Uongozi utakuwa nao Milele?

Anyway naamini hii roho tuliyo nayo ndo hufanya wanasiasa wawe vile wanakuwa wanajua mwisho wa siku yanaisha....tuendelee kuwa hivi hivi na wao wajaliwe kuwa vile vile.
Wasukuma ndivyo walivyo, sasa wataipata.
 
Pesa ya kuwalipa anapata wapi? Kwa sasa au zile alizopora za madawa ya kulevya na Shisha
Makonda inasemekana ni Bilionea kama Siyo Trilionea.

Nasikia ana pesa, Serikali ya Samia ikasome.
 
Yule Mbabe wa 'Twira' aka 'ki-log' ; kasema asiingiliwe na yeyote mwenye uchu nae,
'yule atamla Nyama yeye', na eti, Watu watulie😀
 
Back
Top Bottom