Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hakuna adhabu kubwa kama aliyo ipata baada ya jiwe kutangulia mbele ya haki.Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake.
Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo.
Nakwambia wasingemwacha. Wangesema naye tu kumuuliza ulivyokuwa ukitutendea vile ulifikiria Uongozi utakuwa nao Milele?
Anyway naamini hii roho tuliyo nayo ndo hufanya wanasiasa wawe vile wanakuwa wanajua mwisho wa siku yanaisha....tuendelee kuwa hivi hivi na wao wajaliwe kuwa vile vile.
Vibaya mno...kuna yeye...Lijualikali, huyu dogo alocompete na sioi sumari, yaan hao hadi wafike menopause watakua wanalia tuHakuna adhabu kubwa kama aliyo ipata baada ya jiwe kutangulia mbele ya haki.
Kifutu ndo nan🤣🤣🤣Yule Kifutu sitaki hata kulisikia kuna lake
Yule aliyefadhiliwa cheo halafu akawa anatuvimbishia makalioKifutu ndo nan🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Yule aliyefadhiliwa cheo halafu akawa anatuvimbishia makalio
Cheti kafoj alafu, kabebwa, kapata madaraka pasipo sifa,Yule aliyefadhiliwa cheo halafu akawa anatuvimbishia makalio
Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake.
Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo.
Nakwambia wasingemwacha. Wangesema naye tu kumuuliza ulivyokuwa ukitutendea vile ulifikiria Uongozi utakuwa nao Milele?
Anyway naamini hii roho tuliyo nayo ndo hufanya wanasiasa wawe vile wanakuwa wanajua mwisho wa siku yanaisha....tuendelee kuwa hivi hivi na wao wajaliwe kuwa vile vile.
Menopause au men pause ! Do umeua !!Vibaya mno...kuna yeye...Lijualikali, huyu dogo alocompete na sioi sumari, yaan hao hadi wafike menopause watakua wanalia tu
Humo humoMenopause au men pause ! Do umeua !!
Watu lazima walale nae mbele tu maana hakuna namna.Endelea Kujidanganya hivyo hivyo Ndugu wakati kuna Watu wanamlia tu ' timing ' walipizie yote.
Kama anajiamini mbona hatulii Mkoa Mmoja au eneo Moja na Kutwa anahamahama tu?
Na kama kuna Mtu asiyekuwa na Raha wala Amani kwa sasa ni huyu Intarahamwe na Mpuuzi wenu.
Wasukuma ndivyo walivyo, sasa wataipata.Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake.
Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo.
Nakwambia wasingemwacha. Wangesema naye tu kumuuliza ulivyokuwa ukitutendea vile ulifikiria Uongozi utakuwa nao Milele?
Anyway naamini hii roho tuliyo nayo ndo hufanya wanasiasa wawe vile wanakuwa wanajua mwisho wa siku yanaisha....tuendelee kuwa hivi hivi na wao wajaliwe kuwa vile vile.
Pesa ya kuwalipa anapata wapi? Kwa sasa au zile alizopora za madawa ya kulevya na ShishaMakonda amebakia kuwalipa wasukuma wenzie wamtukane madam president mitandaoni
Makonda inasemekana ni Bilionea kama Siyo Trilionea.Pesa ya kuwalipa anapata wapi? Kwa sasa au zile alizopora za madawa ya kulevya na Shisha
'Menopause' tena? 😳Vibaya mno...kuna yeye...Lijualikali, huyu dogo alocompete na sioi sumari, yaan hao hadi wafike menopause watakua wanalia tu