Mtu kama Makonda ashukuru sana Watanzania siyo watu wa kisasi

Ni kawaida kwa mtu yeyote kuvuna alichokipanda. Ni swala tu la muda.



Bwana ndiye Roho.
 
Sio huyo tu wapo wengi japo huyo alizidisha watu uwa hawaelewi unachotoa ndo unachopata (what goes around comes around)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
People hear what they don't understand and hate what they can't conquer-Nas
 
Juzi kati kulikua na shuhuli ya hawa mastaa wenu hapo mlima city bashite akenda bila kadi walinzi wakamkazia mlangoni akaondoka kwa kuzuga anaongea na simu ya uongo na waandaaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…