Kwani amesema uwongo?Nauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Nauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Kwani nimesema amesema uongo?Kwani amesema uwongo?
Kamshika nani?Lissu kawashika pabaya
Magufuli ni dikteta kumtetea lazima uwe msukumaKamshika nani?
Mbona mimi siyo msukuma.na udikteta wake uko wapi? Je Mbowe siyo dikteta? Amezuia wabunge kwenda bungeni huo siyo udikteta uchwara? Kila mtu dikteta kwa nafasi yake.inategemeana na definition ya udiktetaMagufuli ni dikteta kumtetea lazima uwe msukuma
Unadhani hii nchi ni mali ya CCM na wengine wenye akili kama zako?Nauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Kwani hapo nimezungumzia CCM? Nimezungumzia sheria za wakimbizi zinasemaje?Unadhani hii nchi ni mali ya CCM na wengine wenye akili kama zako?
Wapo kwa wadhamini zao.wao ndo waliowatuma.Nauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Taja huyo mkimbiziNauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Lumumba yamejaa mapooza tupuAliekwambia Lissu ni mkimbizi ni nani? mnajazana ujinga huko lumumba unakuja nao huku kwa wajanja, rudi nyumbani kwenu.
Ukiwa mkimbizi unaishi nje ya nchi yako inabidi uachane na hiyo nchi kwani kuifuatilia na kuandika makala za kijinga ni uchochezi wa kisiasa. Hao watu inabidi wakamatwe na kunyongwa ama kutunguliwa risasi za kijasusi.Nauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?