Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Kamshika jiwe kwenye uwanja wa ndege wa Chattle.Kamshika nani?
Kamshika jiwe kwenye uwanja wa ndege wa Chattle.Kamshika nani?
Ukiwa mkimbizi unaishi nje ya nchi yako inabidi uachane na hiyo nchi kwani kuifuatilia na kuandika makala za kijinga ni uchochezi wa kisiasa. Hao watu inabidi wakamatwe na kunyongwa ama kutunguliwa risasi za kijasusi.
Huu ndio uzi wa kibwege kuliko nyuzi zote za mwaka huu , hongera kwa kutuvunjia rekodiNauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Kwa hiyo ni vita siyo??Hapo mazimbu kulikuwa na kambi ya wakimbizi wakipigania ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini. Nilijua tu rais wa halali akiongea wezi wa kura lazima wapagawe.
Utajua ww.Kwa hiyo ni vita siyo??
WeweKamshika nani?
Si mlileta uzi hapa ukisema sijui Ubelgiji haruhusiwi kuongea habari yoyote ya siasa mmesahau tena? Hebu rudi google utuletee zile habari pendwa.Kamshika nani?
Swali la kijinga likiulizwa na mjinga wa Chama cha wajinga toka kule kwa wajinga yote ni kujaribu kuhalalisha ujinga ingawa ukweli uko wazi kabisa na mifano iko tele mmojawapo ni wakimbizi toka Afrika Kusini bila juhudi zao hapa Tz, Makaburu wangekuwa bado wanatawala nchi ile na Mandela angefia jela. Mkimbizi hatakiwi kujihusisha na siasa za nchi aliyokimbilia lakini ruksa kuendeleza mapambano ya kisiasa na nchi aliyokimbia ikiwa sababu za kuhama ni za kisiasa.Nauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Ni kwamba ameona ukimbizi unamzika kisiasa,na Kiki ya kutaka kuuliwa imebuma,naona ni vizuri afukuzwe arudi tu nyumbaniNauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?
Kawashika akina nani pabaya wakati kayakimbia mapambano, huyo si ni muoga tu mwenye akili za kike kikeLissu kawashika pabaya
Huyo jamaa sio msukuma ni muhutuMagufuli ni dikteta kumtetea lazima uwe msukuma
Basi nimeelewa kwamba tujiandae kwa vita .lakini tungetofautisha kutafuta uhuru kutoka kwa mkoloni.Swali la kijinga likiulizwa na mjinga wa Chama cha wajinga toka kule kwa wajinga yote ni kujaribu kuhalalisha ujinga ingawa ukweli uko wazi kabisa na mifano iko tele mmojawapo ni wakimbizi toka Afrika Kusini bila juhudi zao hapa Tz, Makaburu wangekuwa bado wanatawala nchi ile na Mandela angefia jela. Mkimbizi hatakiwi kujihusisha na siasa za nchi aliyokimbilia lakini ruksa kuendeleza mapambano ya kisiasa na nchi aliyokimbia ikiwa sababu za kuhama ni za kisiasa.
Viti maalum chadema lazima wateuliwe na kamati kuu hao covid19 walichaguliwa na nani? Mbowe anataka umwambie!Mbona mimi siyo msukuma.na udikteta wake uko wapi? Je Mbowe siyo dikteta? Amezuia wabunge kwenda bungeni huo siyo udikteta uchwara? Kila mtu dikteta kwa nafasi yake.inategemeana na definition ya udikteta
Uwezo mdogo. Kuujadili uzi wako no kupoteza muda.Nauliza tu.maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na maswala ya nchi yetu.sheria inayohusu maswala ya wakimbizi inasemaje?