Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

Pia juma alisema hakuwa kwenye utimamu wake,,, kiaje wakakubaliana na Amin
 
1.Mkataba wake ulisimamiwa na diwani wa kata ya eneo ambao kiwanja lilipo

2. Kiwanja chake waliuziana bila hizo requeast kufanyika. Maana huyo juma hizo sqm 1200 alizipata baada ya kurithi kiwanja kilichopimwa na serikali. Kipo kwenye ramani ya mipango miji ya mwaka 1988. Na kina hati ya serikali
Huwezi kuiuza registered land bila muhuri wa kamishna wa viapo. So, lazima kuwe na drafting ya affidavit iambatane na sale agreement. Diwani yeye siyo kamishna wa viapo. Kwa hiyo, hiyo contract is null na haikufuata Sheria.
Pili, hiyo request ikikataliwa? Huko mkataba upo kinyume cha Sheria. Kwa sababu labda hilo eneo lilitakiwa liwe medium density, wewe unaligeuza low density bila approval ni kosa.
Halafu unahitaji hati ya nini? Yaani Amina apewe hati ya Sqm 1200 wakati kanunua Sqm 400? Sijapata mantiki yake.
All in all, Kuna makosa mengi upande wa mnunuzi.
Kwa hiyo atarudishiwa tu hela zake, hiyo contract is inoperable.
 
Amina anadai hati ya sqm 400.

Yaani hati ya mwanzo ya sqm 1200 ife.

Then yeye Amina apewe hati ya sqm 400.

Na kisha Juma apate hati mpya ya sqm 800.

Hayo ndiyo makubaliano yao
 
Kwanza wote mnahitajo fimbo, mbili, kama hamjamshirikishi mtu yyte serikali za mtaa, huyo amina ni tapeli.
 
Amina anadai hati ya sqm 400.

Yaani hati ya mwanzo ya sqm 1200 ife.

Then yeye Amina apewe hati ya sqm 400.

Na kisha Juma apate hati mpya ya sqm 800.

Hayo ndiyo makubaliano yao
Utaratibu hua unafanya surrender ya original title,ukistate sababu ya surrender kua ni kuuza kipande cha ardhi...ambapo utapewa approval ardhi na hati ya awali inakufa then wa 400sqm ataanza utaratibu wa kuomba hati huku wa 800sqm akifanya vivo hivyo.
 
Amina anadai hati ya sqm 400.

Yaani hati ya mwanzo ya sqm 1200 ife.

Then yeye Amina apewe hati ya sqm 400.

Na kisha Juma apate hati mpya ya sqm 800.

Hayo ndiyo makubaliano yao
Mshauri atwisti iyo kesi kutoka madai hadi jinai na Juma apewe kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...then akamuliwe na manjagu atoe iyo pesa kwa pamoja.
 
Hayo makubaliano Yao ni lazima Kwanza yafuate Sheria na taratibu. La sivyo, yanaweza yasitekelszwe
Huwezi kununua Sqm 400 toka kwenye kiwanja cha Sqm 1200.
Unaweza kufanya hivyo iwapo plan imekubaliwa kubadilishwa.
Hapo kwa kifupi huko mkataba ni batili, hela irudishwe, Hakuna option ya kupata ardhi.
 
asante kwa ushauri wako
 
plan itakubaliwa kubadilishwa bila sababu ya msingi
 
kuua ni kujletea matatizo hata wewe mwenyewe
Kosa kubwa lilifanyika kwenye mauziano. Kwa logic ya kawaida tu ni kuwa huwezi kumega kiwanja kilichopimwa na kuuza kienyeji namna hii. Mipango miji inawekwa kwa sababu zake. Na pili mtu aliyetumika kwenye mauziano ni batili kisheria. Kwa kifupi mauziano hayakufuata sheria. Kwangu mimi, mnunuzi afanye njia yoyote arudishiwe fedha zake kwani hata kama akipewa kiwanja, kuna dalili zimeshaonyesha kuwa siku zijazo mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi. Swali kubwa ni: fedha atazidai kwa njia gani? Inaonekana kabisa jamaa aliuza kutatua shida ya ghafla na hana fedha za kurudisha, na huenda asirudishe kabisa bila hatua kuchukuliwa. Ingekuwa mimi njia rahisi na ya haraka ni kufanya mpango amsukumizie kesi ya jinai. Aongee vizuri na polisi jamaa abanwe arudishe fedha. La sivyo asipokuwa mwangalifu hii issue inaweza kuchukuwa muda mrefu sana..
 
kesi ya jinai ungemsukumia kwa mbinu gani ?

hoja gani zingeigeuza hii kesi kuwa ya jinai
 
Mshauri atwisti iyo kesi kutoka madai hadi jinai na Juma apewe kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...then akamuliwe na manjagu atoe iyo pesa kwa pamoja.

hoja gani nzuri sana ku twist hii kesi kuwa ya jinai.

mfano ungekuwa wewe ungeitwist vipi ?
 
Inasikitisha sana... Ngoja waje kutoa muongozo...
 
Back
Top Bottom