Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

Ni ushamba tu na kutaka kujionesha Kwa walevi wengine. Watu mko wawili halafu mnajaza meza mpka panakosekana pa kuweka hata simu.

Hii ni common sana Kwa vijana wa machimboni.

Wahudumu wa bar hufurahia sana watu wa namna hii, wanachofanya wanakuwa wanabadilisha bia na kuziuza Tena.😂😂😂
 
NamnukuuKiranga

"Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri, kwa watu wasio wajua au pasipo kuombwa kufanya hivyo,tena kwa mambo wasiyo yajua.
Naam,

Narudia tena.

Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.

In other news.

Umesikia Magnus stroke again?
 
Back
Top Bottom