Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Unaangalia last seen ya mtu ili iweje? Kujitakia shida zisizo na sababu.
 
Kuondoa kero za wale waliokiremu mtu ukiwa online basi unachat tu.
 
ili ujue kwann ha reply sms yako

Kuangalia last seen hakukufahamishi kuwa "kwa nini hajibu SMS"..!
Mtu aweza kusoma akaona ajibu akiwa ametulia. Mpe mda, tatizo wengi tulio kwenye mahusiano tuna panic haraka Sana. Kidogo tu unahisi mwenzako anajihusisha na mtu mwingine, kumbe wala.
 

Huko ni kukosa uhuru boss
 
Wengine usipomjibu kwa mda mwafaka na kaona last see lazima pachimbike heri kuficha tu

jana demu wangu palichimbika kweli hajaficha last seen alafu sms hajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…