Ni dalili ya kukosa uhuru?
sasa mkuu Tuko mbona naambiwa kama naficha last seen yangu sitaweza kuona za wengine pia!
Huko ni kukosa uhuru boss
But ukiwa free hiyo sio kero
Wengine usipomjibu kwa mda mwafaka na kaona last see lazima pachimbike heri kuficha tu
Mkuu sijasema nikiwa bize, nimesema kuondoa kero kwa wale wanaojua kuwa online nikuchati tu, kumbe wakati mwingine unaingia ukiona text unajibu unatoka sasa kuna wale wanataka ukiingia tu uwatext, wakati mwingine mtu anatuma text haina maana hujibu, sasa mtu akiona kakutext hujajibu na last seen inaonesha dakika moja iliyopita, anajua umeisoma ila hutaki kumjibu ataanza kulalamika, sasa hiyo kero ndo inasababisha tufiche.
Huko ni kukosa uhuru boss
kutoa last seen ni kukosa uhuru?
Hahahaa...
But ndio hadi kufichiana muda uliokuwa online? Kweli?
Mkuu kuna wadada wanakaba hadi penati, yaani anataka ukiingia whatsapp uwe unachat nae, anadhani humu duniani unajuana na yeye tu. So kuokoa muda wa kuulizana, ficha last seen.
Wengine usipomjibu kwa mda mwafaka na kaona last see lazima pachimbike heri kuficha tu
Kula LIKE....afu we unaongoza kwa kuficha
Nadhani...