Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

But ukiwa free hiyo sio kero

Mkuu sijasema nikiwa bize, nimesema kuondoa kero kwa wale wanaojua kuwa online nikuchati tu, kumbe wakati mwingine unaingia ukiona text unajibu unatoka sasa kuna wale wanataka ukiingia tu uwatext, wakati mwingine mtu anatuma text haina maana hujibu, sasa mtu akiona kakutext hujajibu na last seen inaonesha dakika moja iliyopita, anajua umeisoma ila hutaki kumjibu ataanza kulalamika, sasa hiyo kero ndo inasababisha tufiche.
 
Free namaanisha kuwa HURU. Kama uko huru huwezi kujali watu wanakufikiria vibaya as long as huna ubaya
 
Hahahahah ni kweli, why hiding??? Kuna mtu nilitofautiana alikuwa ananiuliza y all the tym upo online? Hajui kuwa kuwa online ni just internet kuwa on. Yeye mawazo yake nachat na watu. Maskini kumbe simu yangu naconnect na laptop kufanya mambo ya ofisi.
 
Mkuu kuna muungano ambao mtu yuko huru 100%???
Hebu nipe elimu ya huo muungano ambao mtu anabaki na power yake 100% na muungano huo ukawa salama.

Hahahaa...
But ndio hadi kufichiana muda uliokuwa online? Kweli?
 
Mkuu kuna wadada wanakaba hadi penati, yaani anataka ukiingia whatsapp uwe unachat nae, anadhani humu duniani unajuana na yeye tu. So kuokoa muda wa kuulizana, ficha last seen.

Sawa boss lakini mimi kama anamaindi sana atembee mbele... siko tayari "kujificha" kwa sababu yake...
 
Last seen info inaboa sana....ila sijaiondoa ninachofanya ni msimamo tu kwamba si msg zote za kujibiwa na wananielewa hivyo.
 
Back
Top Bottom