Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Generally, mimi sipendi whattsap. Sema inanilazimu kuitumia kwasababu ya ki-group changu cha mpira.

Ila napenda sana sms.
 
As long as atakuwa na sababu... hatakwazika

We online unaweza chat na wangapi?ukiwa na watu 20 na wapo active lazima uchoke na wengine wa karibu ukiwachunia wanaona unaringa,ukificha last seen wanajua hujaona
 
Back
Top Bottom