dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Nimekutana naye zaidi ya mara tatu, na kila nikikutana naye anatoa harufu kama ya dawa hivi.
Na hii harufu pia huwa naisikia nikikutana na mtu mmoja ambaye taarifa zilizopo ni kuwa anatumia dawa na mumewe alipotea.
Hii pisi ni pisi haswa na inaonekana kabisa nikigusa tu, imo.
Nishaurini wadau iko salama kweli?