Mtu kuwa Vice Chancellor wa Vyuo Vikuu 2 kwa wakati mmoja ni Tanzania pekee au na kwingine ipo?

Mtu kuwa Vice Chancellor wa Vyuo Vikuu 2 kwa wakati mmoja ni Tanzania pekee au na kwingine ipo?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Bila kuchoshana,someni wenyewe👇

''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''

Kusiluka.JPG
 
View attachment 2307914
Vice chancellor ni accounting officer wa chuo husika na ndiye mtendaji mkuu hivyo si rahisi kuhudumu kwa nafasi moja kwa vyuo viwili... hapo automatic Mzumbe hawana VC kwa sasa watapata mwingine. Kiutumishi unapopewa nafasi nyingine automatically unaacha ya kwanza.
 
Sasa hilo gazeti limeandikaje hapo juu?
 
Kwa hiyo siku hizi uteuzi wa VC haufanywi na rais, ni mkuu wa chuo kimoja kumteua VC ambaye anahudumu kwenye chuo tofauti.......hapa lazima kuna shida.
 
Wapi waliposema anaiacha? Maelezo niliyoambatanisha yanaeleza nini?
Mtu ukipewa kiti ukae wakati tayari umekaa kwenye kiti kingine, unapoinuka ili ukae kwenye kiti kipya, kile cha zamani kinabaki wazi kwa ajili ya mwingine kukalia au unakata tako moja na kuliacha kwenye kiti cha zamani na kwenda kukaa na tako moja kwenye kiti kipya?
 
Mkuu fanya manbo yako ulishe familia yako,akiwa na nafasi mbili shida iko wapi hapo.

Watanzania mmekalia majungu na fitna.
 
Huyu jamaa mnamdharau lakini ukimsoma kwa makini ndani yake ana hoja.

Aliyeteuliwa alikuwa ni Vice Chancellor wa Mzumbe. Je mkuu wa chuo cha Dodoma anatoa wapi mamlaka ya kumhamisha mfanyakazi atoke kwenye kwenye chuo asicho na mamlaka nacho?
 
Nafasi gani? Umesoma hapo ukaelewa?

Yuko kwenye nafasi gani na ameteuliwa kwenye nafasi gani?

Atahamishwa bwana, nini cha ajabu? Au wewe ni mara yako ya kwanza kuona hili? Pale Mzumbe lazima atateuliwa VC mwingine! Mbona una makeke na mchecheto sana bwana mdogo? Hebu endelea na vyeti vyako kutafuta kazi huko!
 
Mkuu wa chuo cha mzumbe, naye atateua makamu mkuu wa chuo
 
Kwa hiyo siku hizi uteuzi wa VC haufanywi na rais, ni mkuu wa chuo kimoja kumteua VC ambaye anahudumu kwenye chuo tofauti.......hapa lazima kuna shida.
Ili nalo neno kwakweli!
 
Back
Top Bottom