The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nafasi gani? Umesoma hapo ukaelewa?Nafasi yake ya awali itajazwa mwingine
Kwa hiyo mkuu wa Chuo Cha Dodoma anaweza kumhamisha Makamu mkuu wa Chuo Cha Mzumbe?Hapo ni sawa na kahamishwa
Nafasi yake itajazwa na mtu mwingine
Unajuaje hiyo anayoiacha haitojazwa?Nafasi gani? Umesoma hapo ukaelewa?
Yuko kwenye nafasi gani na ameteuliwa kwenye nafasi gani?
Vice chancellor ni accounting officer wa chuo husika na ndiye mtendaji mkuu hivyo si rahisi kuhudumu kwa nafasi moja kwa vyuo viwili... hapo automatic Mzumbe hawana VC kwa sasa watapata mwingine. Kiutumishi unapopewa nafasi nyingine automatically unaacha ya kwanza.Bila kuchoshana,someni wenyewe👇
''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''
View attachment 2307914
We unayo? CCM mko hovyo sana hadi machangudoa mnaomba kazi za sensa?Mara nyingi nimekuambia huna akili, ona ushaitia aibu familia yako
Sasa hilo gazeti limeandikaje hapo juu?Vice chancellor ni accounting officer wa chuo husika na ndiye mtendaji mkuu hivyo si rahisi kuhudumu kwa nafasi moja kwa vyuo viwili... hapo automatic Mzumbe hawana VC kwa sasa watapata mwingine. Kiutumishi unapopewa nafasi nyingine automatically unaacha ya kwanza.
Wapi waliposema anaiacha? Maelezo niliyoambatanisha yanaeleza nini?Unajuaje hiyo anayoiacha haitojazwa?
Mtu ukipewa kiti ukae wakati tayari umekaa kwenye kiti kingine, unapoinuka ili ukae kwenye kiti kipya, kile cha zamani kinabaki wazi kwa ajili ya mwingine kukalia au unakata tako moja na kuliacha kwenye kiti cha zamani na kwenda kukaa na tako moja kwenye kiti kipya?Wapi waliposema anaiacha? Maelezo niliyoambatanisha yanaeleza nini?
Kama ni kibarua wa serikali, serikali ina haki ya kuamua ikupeleke wapi. Hii mbona ni kawaida kabisaKwa hiyo mkuu wa Chuo Cha Dodoma anaweza kumhamisha Makamu mkuu wa Chuo Cha Mzumbe?
Huyo Tax ni mkuu wa vyuo vingapi?
Umesoma ukaelewa concern yangu?Kama ni kibarua wa serikali, serikali ina haki ya kuamua ikupeleke wapi. Hii mbona ni kawaida kabisa
Nafasi gani? Umesoma hapo ukaelewa?
Yuko kwenye nafasi gani na ameteuliwa kwenye nafasi gani?
Ili nalo neno kwakweli!Kwa hiyo siku hizi uteuzi wa VC haufanywi na rais, ni mkuu wa chuo kimoja kumteua VC ambaye anahudumu kwenye chuo tofauti.......hapa lazima kuna shida.