Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

msovero

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
863
Reaction score
1,534
Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
Screenshot_20210628-130753.png
 
Jiongeze mkuu
Hapo hilo jina la pili halijaja bahati mbaya
"mtoto wa anko" anachomekwa hapo
Kumbe ndiye huyu ile siku wanataka kurelease wakakumbuka hajachomekwa ikabidi warudi kumchomeka ndio majina yakatoka kesho yake?? ..ila poa yote maisha
 
Mimi nilichaguliwa faculty tofauti mbili, nilijiunga nilioipenda.

Haya mambo hutokea not a big deal at all
 
Mimi nilichaguliwa faculty tofauti mbili, nilijiunga nilioipenda.

Haya mambo hutokea not a big deal at all
It is not a big deal kivipi huoni kama ameziba nafasi ya mtu mwingine hapo??
 
Ni mtu mmoja kivipi wakati namba ya mtihani ni tofauti?
 
Back
Top Bottom