Kumbe ndiye huyu ile siku wanataka kurelease wakakumbuka hajachomekwa ikabidi warudi kumchomeka ndio majina yakatoka kesho yake?? ..ila poa yote maishaJiongeze mkuu
Hapo hilo jina la pili halijaja bahati mbaya
"mtoto wa anko" anachomekwa hapo
Kuna watu ni mawaziri leo lakini darasani mpaka kwenye mitihani walikuwa waigiliziaji wazuri sana.So hata iwe mchongo kikubwa umefanikiwaAu ni mchongo nini