Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Ni mimi huyu
 
Kwa sababu hizi nilijikuta naoa nikiwa na miaka 21 tu.
 
Kama Una Umri wa Ujana 13-20 ni umri wa kawaida kufanya hayo ila jichanganye na Wanaume Wenzako ili usije Dumbukia kwenye tabia Zisizo za Kiume.
 
Ukifukuzwa kwenu ukipokelewa na walimwengu utabadilika
 
Safi sana kijana hakika utafika mbali, mimi nina mambo yote kutoa hiyo no 8, mimi furaha yangu ni kuchakata mbususu.
 
Uko vizuri sana! Keep it up!
Tatizo kubwa sana kwetu waswahili ni kuchaguachagua kazi: hii ya mwanamke, hii ya mtoto, halafu ubosibosi, eti huwezi kufanya usafi kwenye mazingira ya nyumbani kwako mpaka uweke kibarua! Hii ni bure kabisa!

Nashukuru
 
Hapo una elements kadhaa za mental challenges. Sipendi kutumia title Mental Disorders au Mental abnormalities.

Unacheza kwenye maeneo haya yafuatayo.

*Social anxiety disorder
*Autism
*Bipolar disorder
*General anxiety
*Depression
*Schizophrenia
*ADHD

Unaweza kuwa unapitia mojawapo ya hizo au kadhaa kati ya hizo maana una elements zake. Ni vema ukawacheki muhimbili pale kitengo cha afya ya akili waweze kukupatia matibabu ya awali.
 
Kuna jamaa angu anapesa ila ajui namna za kuzitumia nanpenda sifa za kijinga kas kusifia demu wake muda wote huna tofaut nae
 
Matatizo ya akili.
Nenda kapime afya ya akili Mkuu
 

[emoji27][emoji27][emoji27]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…