Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Deep inside you, una mambo haya;

1) Unapata hisia kali kwamba ipo siku utaendelea na utapiga hatua kubwa katika maisha. Indeed, you will succeed.

2) Unapata hisia ya kuanzisha family early, na family ni muhimu kuliko marafiki (Family Oriented Man). You'll start your own family early in your life.

3) You overthink at times. Unafikiria kupita kiasi wakati mwingine hasa kwenye mambo ya maendeleo na maisha.

4) Unafikiria mambo/biashara yenye faida kubwa, na sio mambo yenye faida ndogo ndogo. Japo huna mtaji kwasasa hivi.

5) Unapata hisia kali kuna baraka mungu atakujaalia mbele katika maisha yako.

6) Hata movie ambazo unapenda kuangalia mara nyingi ni documentary au zinazo base kwenye ukweli/uhalisia wa maisha.

N.k
Ni mimi huyu
 
Kwa sababu hizi nilijikuta naoa nikiwa na miaka 21 tu.
 
1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu

2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka

3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu

4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu

5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali

6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi

7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa

8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo

9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6

10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?

11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena

12.

Sijui haya yanasababishwa na nini?
Kama Una Umri wa Ujana 13-20 ni umri wa kawaida kufanya hayo ila jichanganye na Wanaume Wenzako ili usije Dumbukia kwenye tabia Zisizo za Kiume.
 
1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu

2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka

3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu

4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu

5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali

6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi

7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa

8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo

9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6

10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?

11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena

12.

Sijui haya yanasababishwa na nini?
Ukifukuzwa kwenu ukipokelewa na walimwengu utabadilika
 
Safi sana kijana hakika utafika mbali, mimi nina mambo yote kutoa hiyo no 8, mimi furaha yangu ni kuchakata mbususu.
 
Uko vizuri sana! Keep it up!
Tatizo kubwa sana kwetu waswahili ni kuchaguachagua kazi: hii ya mwanamke, hii ya mtoto, halafu ubosibosi, eti huwezi kufanya usafi kwenye mazingira ya nyumbani kwako mpaka uweke kibarua! Hii ni bure kabisa!

Nashukuru
 
Hapo una elements kadhaa za mental challenges. Sipendi kutumia title Mental Disorders au Mental abnormalities.

Unacheza kwenye maeneo haya yafuatayo.

*Social anxiety disorder
*Autism
*Bipolar disorder
*General anxiety
*Depression
*Schizophrenia
*ADHD

Unaweza kuwa unapitia mojawapo ya hizo au kadhaa kati ya hizo maana una elements zake. Ni vema ukawacheki muhimbili pale kitengo cha afya ya akili waweze kukupatia matibabu ya awali.
 
Kuna jamaa angu anapesa ila ajui namna za kuzitumia nanpenda sifa za kijinga kas kusifia demu wake muda wote huna tofaut nae
 
1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu

2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka

3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu

4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu

5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali

6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi

7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa

8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo

9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6

10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?

11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena

12.

Sijui haya yanasababishwa na nini?
Matatizo ya akili.
Nenda kapime afya ya akili Mkuu
 
Hapo una elements kadhaa za mental challenges. Sipendi kutumia title Mental Disorders au Mental abnormalities.

Unacheza kwenye maeneo haya yafuatayo.

*Social anxiety disorder
*Autism
*Bipolar disorder
*General anxiety
*Depression
*Schizophrenia
*ADHD

Unaweza kuwa unapitia mojawapo ya hizo au kadhaa kati ya hizo maana una elements zake. Ni vema ukawacheki muhimbili pale kitengo cha afya ya akili waweze kukupatia matibabu ya awali.

[emoji27][emoji27][emoji27]
 
Back
Top Bottom