Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Vipi una demu?
 
Hivi nyie mnaosema jamaa kapevuka kiakili, kupevuka kiakiki ni kuchezea laptop weekend nzima, ni kutokua na marafiki, ni kutochakata mbususu??

Mjitathmini nyie watu, huyu jamaa ni muoga, ni eidha kwenye malezi yake hakukutana na watu wengi ama lah hakulelewa kwa namna ile walivyolelewa wengi yani kuruhusiwa ama kutoroka kwend kucheza na marafiki wengine.

Kwa kawaida tu mwanaume kukosa marafiki ni nadra sana, utacheza mpira, mtapigana, mtachokoza wasichana basi tu tafrani na ndo humo utapatiamo marafiki wengi.

Kuna uzi humu mwamba anaelezea kuhusu introverts, kwamba watu huchanganya watu wa kariba hiyo na watu waoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…