Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi una demu?1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu
2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka
3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu
4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu
5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali
6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi
7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa
8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo
9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6
10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?
11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena
12.
Sijui haya yanasababishwa na nini?
[emoji16][emoji16]karibu PM[emoji1490][emoji1490][emoji1490]
Kwa tabia hizo njoo tuishi pamoja kama kaka na dada!
Baba na mama. Ila mama ndio alikuwa kiranja mkuuJames Hadley Chase katika makuzi yako ulilelewa na baba na mama au umelelewa na mama/bibi pekee?
Vinasababishwa na Vaileth wa Matonya, ingia YouTube hapo Matonya Vaileth huyo Vaileth ndio anasababishaSijui haya yanasababishwa na nini?