Mtu mwenye Ualbino ni mlemavu au sio mlemavu?

Sanze M

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
4,138
Reaction score
8,643
Habari wa JF wenzangu, juzi kati nilimuona mtangazaji mmoja wa Wasafi FM mwenye ualbino(simkumbuki jina) alikuwa akizungumza na Makonda akadai yeye anapinga watu wenye ualbino kuitwa walemavu kwa sababu tu ya ngozi yao labda awe na ulemavu mwingine tofauti na akasema yeye anashangaa aina hiyo ya ulemavu unatambuliwa sehemu na sehemu akatoa mfano mtu mwenye ualbino akiwa Tanzania anaitwa mlemavu lakini akiwa Uingereza sio mlemavu kwamba huko atambuliki kama ni mlemavu japo sina uhakika na huo mfano wake lakini je wewe binafsi unaona mtu mwenye ualbino ni mlemavu?
 
Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini inayomzuia mtu kutekeleza shughuli zilizo kawaida katika maisha ya jamii. Unamwekea mtu mipaka asiweze kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake, tofauti na watu wengine.

© 𝐖𝐢𝐤𝐢𝐩𝐞𝐝𝐢𝐚
 
Kutokana na hilo basi si mlemavu
 
𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐮𝐥𝐞𝐦𝐚𝐯𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐚𝐳𝐚𝐦𝐨 𝐰𝐚𝐤𝐨?
Kwa mtazamo wangu mlemavu ni mtu mwenye upungufu wa kiungo/viungo au upungufu wa utendaji kazi wa kiungo/viungo.
 
Ulemavu ni hali au hali ya kuwa na uwezo mdogo au hali ya kutoweza kufanya kitu fulani kama wengine kwa sababu ya sababu za kiafya, kijamii, au kihisia.
 
mwambie wewe na yeye mchukue watoto wadogo wasio zidi mwaka mmoja na nusu kiumri mtoke njee muda wa saa sita na nusu mchana alafu kila mtu amrushe juu yule mtoto kama kucheza nae hivi huku unamdaka na kumrusha tena juu...sikufichi mtoto aliye Rushwa na albino utasikia puu...na kilio kisicho cha haja...huku yeye akiwa bado anatizama juu kumsubiri mtoto ili amdake...jaribuni afu mtaleta mrejesho hapa
 
Ulemavu wao unatokana kweli na mazingira waliyopo, mazingira ya Tanzania ni joto na jua kali hapo albino lazima awe na changamoto na hapo atakuwa anaonekana mlemavu. Ila huko Uengereza kwenye baridi, Albino anaishi kama mtu asiye na shida yoyote.​
 
mwambie wewe na yeye mchukue watoto wadogo wasio zidi mwaka mmoja na nusu kiumri mtoke njee muda wa saa sita na nusu mchana alafu kila mtu amrushe juu yule mtoto kama kucheza nae hivi huku unamdaka na kumrusha tena juu...sikufichi mtoto aliye Rushwa na albino utasikia puu...na kilio kisicho cha haja...huku yeye akiwa bado anatizama juu kumsubiri mtoto ili amdake...jaribuni afu mtaleta mrejesho hapa
😅 😅 😅 😅

Watu mna matusi
 
Habari wa JF wenzangu, juzi kati nilimuona mtangazaji mmoja wa Wasafi FM mwenye ualbino(simkumbuki jina) alikuwa akizungumza na Makonda akadai yeye anapinga watu wenye ualbino kuitwa walemavu kwa sababu tu ya ngozi yao labda awe na ulemavu mwingine tofauti na akasema yeye anashangaa aina hiyo ya ulemavu unatambuliwa sehemu na sehemu akatoa mfano mtu mwenye ualbino akiwa Tanzania anaitwa mlemavu lakini akiwa Uingereza sio mlemavu kwamba huko atambuliki kama ni mlemavu japo sina uhakika na huo mfano wake lakini je wewe binafsi unaona mtu mwenye ualbino ni mlemavu?
Wajibu wenye uwalbino wanajichulia kama walemavu au?
 
Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini inayomzuia mtu kutekeleza shughuli zilizo kawaida katika maisha ya jamii. Unamwekea mtu mipaka asiweze kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake, tofauti na watu wengine.

© 𝐖𝐢𝐤𝐢𝐩𝐞𝐝𝐢𝐚
Jua linakua kikwazo kwa albino muda wote. Nadhani unaweza kukubali kama albinism ni ulemavu wa ngozi
 
Bora albino aisee...kipindi cha nyuma niliwah kukaa na wanandoa wana ulemavu wa kuongea na kusikia...yaani ni bubu afu kiziwi...aisee ikifika muda wa kunyanduana.... kelele wanazo piga lazima ukimbie nyumba kwa aibu...afu wenyewe kiroho safi caz hawajui kama wanapiga kelele na vile hawahisi kama kuna watu wanawasikia...usiombe ikukute afu uwe na watoto wadogo
 
Back
Top Bottom