Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
kwenye miwani najua ila hili la wanja ndio nalijua leo,ingawa yule manzi alikua akipaka sana wanja hasa kope za chini.Wanatakiwa wapake wanja ili waone kope zao ni nyeupe ndo maana wana uoni hafifu, au wavae mewani ya jua